Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

Sultan MackJoe Khalifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2022
Posts
6,782
Reaction score
14,148
Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani.

nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo.

mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi.
πŸ‘‡
Azam.
Mtibwa.
Mashujaa.

Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa kasi ya mwanga.
 
Mnajimu kolo koloni
 
Hongereni Makolo Kwa ubingwa. Hakika nyie ni hatari mtapata pointi 90, yaani 3x30. Hongereni sana.
 
Yanga ni kweli ata fungwa tena au ata droo hivyo ndivyo soka lilivyo ila katika kipengele cha ubingwa Kwa apa Bongo Yanga ndie ubingwa wenyewe.
Anajua jinsi ya kucheza na kutwaa ubingwa, Kwasasa timu zingine zitasubiri sana.

Yanga anajua Simba atapote wapi na atafurahi wapi kwasasa kitufe kilicho bonyezwa ni cha Simba kufurahi.

Kipo kitufe chenu cha mahangaiko kinakuja mpaka siku mtakapo tubu kwanini mlimfanyia vile Manji.

Hivyo ndivyo ilivyo kwa miamba yote ya soka, kujua nguvu na udhaifu wa mpinzani wako nje na ndani ya uwanja, kwa apa Bongo Simba hafurukuti kamwe.
 
Nimechungulia vibuyu nimemulika vilinge kuna uhalisia asilimia 90

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda utatoka majibu.

Muda Huwa haudanganyi.

Muda sikuzote ni mkweli.

Muda ni hakimu WA Haki.
 
Idadi ya point za atakazopoteza kwa kufungwa: 3*3 = 9
Idadi ya point atakozopoteza kwa kusare: 3*2= 6

Jumla ya point atakazopoteza: 9+6 = 15
Idadi ya mechi kwenye ligi: 30
Jumla ya point za mechi zote 3*30 =90
Jumla ya point atakazokusanya: 90-15 =75
Kwa hiyo yanga atakusanya point 75.
Swali, je msimu uliopita yanga alikusanya point ngapi zilizomwezesha kuwa bingwa?
 
Aya amka usingizi umeisha
 
Hapo umetumia kigezo cha kupiga lamli au mbinu na ufundi? Sijui kwanini msimu huu mashabiki wamekosa kujipa muda na kusubiri hadi raundi ya kwanza itamatike. Yanga kufungwa na Ihefu sio kitu kipya, hata msimu uliopita alifungwa na huyo huyo Ihefu na ubingwa kabeba. Tusubiri muda utatoa majibu
 
Tabiri mechi tatu za leo tuone lamuli zako kama zina mashiko
 
Alisikika Chura Mmoja Akisema
 
Sawa kijana wa Chifu Mangungo. Jiandae kupata pongezi za kutosha kutoka kwa vijana wenzako wa Msovero Kilosa.
 
Amka wewe utajikojolea..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…