Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kuna mtu alitoa utabiri mechi ya IHEFU vs YANGA, mwanzoni alianza kwa kutukanwa ila mwishoni watu wakampa maua yake. Inaonyesha wengi humu ni Matomaso au wenye ujuaji wa hovyo siyo?
2.Kisa cha kifo cha JPM kilishasababisha nisiwe nawabishia sana watu,kama nina mashaka bora nikae kimya tu. Kama mtakumbuka, kabla hata ya Uchaguzi Mkuu 2020 kuna watu walishauri ingekuwa vyema JPM asingegombea tena maana hangemaliza mhula wake wa pili. Ila wabishi tukawatukana na kuwazodoa watabiri wale. Mambo yalivyotokea kama ilivyotabiriwa threads zikaanza kufufuliwa. Huwa tunasubiri hadi itokee eeeh?
3.Kitendo cha Simba kukipeleka kijezi chake kileleni mwa Mt.Kilimanjaro ni kiko ki spiritual zaidi. Na tahadhari ilishatolewa.
huyo ni wewe mimi kazi yangu haihitaji hizo mambo zenuMkiwa kwenye majukwaa ya michezo mwasema "haya mambo hayana nafasi kwenye soka". Ila makazini na kwenye biashara mnafanya shirki kubwa za kumkera Mwenyezi Mungu. Wanafiki wakubwa!
Wewe mzee sindio ulisema jezi ya yanga ni nzito msimu ukiopita?😅😅Nimechungulia vibuyu nimemulika vilinge kuna uhalisia asilimia 90View attachment 2777552
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ni mimi na kamwe siwezi kukana maandishi yanguWewe mzee sindio ulisema jezi ya yanga ni nzito msimu ukiopita?[emoji28][emoji28]
Uzito uliishia wapi?
Wewe ndio unaakiliUtopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani.
nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo.
mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi.
[emoji116]
Azam.
Mtibwa.
Mashujaa.
Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa kasi ya mwanga.