Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

1. Kuna mtu alitoa utabiri mechi ya IHEFU vs YANGA, mwanzoni alianza kwa kutukanwa ila mwishoni watu wakampa maua yake. Inaonyesha wengi humu ni Matomaso au wenye ujuaji wa hovyo siyo?

2.Kisa cha kifo cha JPM kilishasababisha nisiwe nawabishia sana watu,kama nina mashaka bora nikae kimya tu. Kama mtakumbuka, kabla hata ya Uchaguzi Mkuu 2020 kuna watu walishauri ingekuwa vyema JPM asingegombea tena maana hangemaliza mhula wake wa pili. Ila wabishi tukawatukana na kuwazodoa watabiri wale. Mambo yalivyotokea kama ilivyotabiriwa threads zikaanza kufufuliwa. Huwa tunasubiri hadi itokee eeeh?

3.Kitendo cha Simba kukipeleka kijezi chake kileleni mwa Mt.Kilimanjaro ni kiko ki spiritual zaidi. Na tahadhari ilishatolewa.

Kwahyo unamaanisha Simba kupeleka jezi mlima Kilimanjaro NI USHIRIKINA au..??
 
Utopolo atapoteza mechi zote mbili za Darby kwa kufungwa na Simba,mechi zote mbili nje ndani.

nyingine moja atafungwa aidha na Ihefu,Kagera au Namungo.

mechi zingine tatu Uto ata draw na timu hizi.
[emoji116]
Azam.
Mtibwa.
Mashujaa.

Hapo sasa malalamiko kwa body ya ligi,tff na marefa yataanza kwa kasi ya mwanga.
Wewe ndio unaakili
 
Back
Top Bottom