Tuseme ukweli,Yanga hakina kikosi makini ,huwezi hata kufananisha kikosi cha yanga na kagera sugar au namungo,ni kwa vile vyombo vya habari vinawakuza tu lakini yanga hamna kikisi makini ,lalamikieni usajili na siyo kufukuza viongozi,nye hamna wachezaji
Timu yetu haiko vizuri sana! Viongozi kama wako siriaz msimu ujao walete wachezaji wa maana sio kina Yikpe na yule mtovu wa nidhamu!
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.
Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.
Nimeumia sana leo.
Yanga kafungwa ngapi?wengine tuko kwenye lockdown
UTOPOLE KASHINDA 4- SIMBA 1 UTOPOLO KAPIGA MPIRA KISHENZI HAIJAWAHI TOKEA DUNIANI HADI SEVILLA SPAIN WAMEPATA HABARIYanga kafungwa ngapi?wengine tuko kwenye lockdown
Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.
Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.
Nimeumia sana leo.
Wenge la kufungwa ama? Yanga haina mtu anaetwa Msolwa!!Hivi kweli Yanga shida nini uongozi au kuna jambo lingine manake kama pesa kwasasa ipo shida nini.
Hivi viongozi wanajua shida tunayopata.mashabiki.ebu msolwa na wenzake watupishe kidogo.hivi msolwa atakuja kutuambia nini klabuni na kumuelewa.
Nimeumia sana leo.
Na badoUtopolo kama utopolo,mshaanza kutafutana.
Nyie Mashabiki wa Utopolo fc muwe mnaongea ka mna akili, msiwe ka viongozi wenu.Timu yetu haiko vizuri sana! Viongozi kama wako siriaz msimu ujao walete wachezaji wa maana sio kina Yikpe na yule mtovu wa nidhamu!
Kocha wao aliwaambia ukweli wamekimbilia hoja ya ubaguziMsolwa hana tatizo, tatizo ni nyie mashabiki wa Yanga na msipoacha ujinga wenu Simba anaweza chukua tena ligi msimu ujao. Tatizo lenu mashabiki wa Yanga ni ujinga mliokwisha aminishwa na viongozi wenu hasahasa yule Zahera aliyetoka kuwa mara zote Simba anabebwa. Yanga hata afungwe na ndanda badala ya kocha au uongozi kueleza technically kwann wamefungwa na ndanda wao wanawajeuza oooh Simba anabebwa na nyie mmebakia na huo wimbo. Msisahau mmeimba huo wimbo mwaka wa tatu Sasa na Simba kachukua ligi mara ya tatu mfululizo, mwakani endeleeni na huo wimbo tuchukue mara ya nne tena. Ila naona na Azam nao wameanza kuwaiga Yanga na msemo huo. Unajua kunawakati unaweza sema Simba anabebwa lakini hebu jiulize hv timu inayotoa sare karbia kumi na point kwenye ligi inaweza kuchukua kombe kweli. Nihilo tu endeleeni na wimbo wenu mliofundishwa msimu ujao msipoona kombe tena lkienda msimbazi