Yanga bado hakuna professionalism

Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Pale Man utd Antony Martial anapokea pesa ndefu kuliko Marcus Rashford na Rashford ndio mfungaji magoli.
 
Ko pasua kichwa mori mori hajarudi??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hangaikeni nalo si mlidhani mmemkomoa simba!
 
hao wote wapo ika hawana match fitness bwana
 
Mkuu hebu soma hizi taarifa mbili uone wenzetu Simba walivo wako vizuri😂😂😂
 
Attachments

  • Screenshot_20230116-092531.png
    98 KB · Views: 1
  • Screenshot_20230116-090951.png
    79.3 KB · Views: 1
Na ndicho alichokifanya Fei Toto, badala ya kuona wivu akaamua kutoona wivu na akatafuta kwingine kwenye maslahi, wao Yanga sasa ndio wakaona wivu na kuanza kumbania Fei Toto.
 
Na mishahara ya wabunge na walimu inapatikana kwa njia ipi mkuu?
 
Yanga iandike barua TFF kuhairisha mechi.
 
Na ndicho alichokifanya Fei Toto, badala ya kuona wivu akaamua kutoona wivu na akatafuta kwingine kwenye maslahi, wao Yanga sasa ndio wakaona wivu na kuanza kumbania Fei Toto.
Mimi siyo mwanasheria hivyo sijui kama hatua alizochukua ni sahihi au lah. Wanasheria wa shirikisho la soka letu wameona hakutumia njia sahihi kwa kukiuka mkataba. Hivyo kama anahisi kaonewa basi aende ngazi za juu zaidi ili akajue kama kilichoamuliwa ni sahihi au kaonewa.
 
Majibu naamini umeyapata jana.

Hakuna Aucho, Hakuna Morrison, Hakuna Nkane, Hakuna Bangala, Hakuna Feitoto na Hakuna Aziz Ki, lakini mtu kalala tena kwa goli moja la kijanja sana ambalo halijawahi kutokea katika mpira wa Tanzania.

Kwa hiyo badala ya kukosoa wataalm, tulia ujifunze.
 
Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali

Hiyo m3 c Ali sign ye mwenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…