Yanga bado tunamuhitaji Fei Toto

Yanga bado tunamuhitaji Fei Toto

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.

Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.

Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.

Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.

Sometimes acha tuseme ukweli.
 
Yanga tukiweka ego zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.

Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.

Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.

Sometimes acha tuseme ukweli.
 
Nilikuwa naaangalia mpira na feisal alikuwa anacheka wakati goal zinaingia kweli karma is real si aziz ki ni bora kuliko feisal mbona hajawasaidia sasa kabakia kuramba mdomo tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
je huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli).

Binafsi naona pengo la Morrison kwenye michuano hii ya kimataifa na wala sijaona pengo la Feisal.
 
je huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli)

Sasa hiyo mechi umewaza asingekuwepo ungekuwaje au ndio umeangalia upande mmoja tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Tuacheni uongo jamani hata takwimu zinamkataa huyo Fei toto.

Hebu tuambie ni mechi gani ya kimataifa Fei toto alifanya cha maana anzia timu ya taifa mpaka Yanga alafu ndo uje hapa.

Sa nyingine tukubali tumefungwa kwajili ya kuzidiwa uwezo na mapungufu ya kiuzuiaji haya maswala ya kusema angekuwepo nani sijui ni ya watu wasiojua mpira.
 
je huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli)
Binafsi naona pengo la Morrison kwenye michuano hii ya kimataifa na wala sijaona pengo la Feisal.
Ile mechi ya Khartoum Fei ndo alinyanganywa mpira likaenda fungwa goli.

Angalia mechi zote za kimataifa hakuna kitu anafanyaga hata timu ya taifa.
 
Tuacheni uongo jamani hata takwimu zinamkataa huyo Fei toto...
Rejea kauli ya Rage utapata majibu, wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya.
 
Sasa hiyo mechi umewaza asingekuwepo ungekuwaje au ndio umeangalia upande mmoja tu

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Asa kwani yeye ni kipa au ni beki? Si yupo kwenye safu ya ushambuliaji? Hivyo impact yake tuna ijaji kwenye matokeo ya upatikanaji wa magoli.

Feisal alikuwepo na Yanga ikatolewa na Al Hilal kwa kushindwa kupata magoli mengi nyumbani na away kushindwa kabisa kupata goli.

Mechi zote za mbili kazi kubwa kwenye ushambuliaji ulifanywa na super Bernad Morrison. Mpira ni mchezo wa wazi
 
Rejea kauli ya Rage utapata majibu ,wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya.
Yaani watu wanaibuka tu na hoja huko eti Feisal lakini ukija kwenye takwimu hakuna kitu kafanya.
 
Fei Toto ni fundi wa kuipandisha timu ikizidiwa na anapiga mashuti. Jana pengo limeinekana naona unaleta ego za hakuna mkubwa zaid ya timu utafikiri kuna mchezaji aliwahi sema bila yeye hakuna Yanga.
 
Mi hata sijaleta ego wala nini ila nimesema kama anapiga mashuti na kupandisha timu basi namba lazima zingekuwepo.

Mara ya mwisho kufunga ni game na zalan na timu ya taifa mara ya mwisho kufunga ni game na madagascar kama nakumbuka vizuri.

Mara ya mwisho katika mechi za kimataifa Feisal kutoa assist hata haijulikani ni lini
 
20230213_135944.jpg
 
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.

Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.

Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.

Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.

Sometimes acha tuseme ukweli.
Hovyoo..

Kama umetumwa waambie umepotea..
 
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.

Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.

Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.

Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.

Sometimes acha tuseme ukweli.
Sasa kati ya Fei na Yanga nani mwenye Ego??
 
Feisal hawezi kurudi Utopoloni kwa vile kuna mzito mmoja huko alitaka kumtafuna huyo dogo na yeye siyo michezo yake hiyo. Kwa msimamo wake kupinga upuuzi huo hata kwa mshahara wa milioni hamsini hawezi kurudi. Mtu anawafungia magoli muhimu kabisa halafu mnataka kumla,HAIKUBALIKI.
 
Fei Toto ni fundi wa kuipandisha timu ikizidiwa na anapiga mashuti. Jana pengo limeinekana naona unaleta ego za hakuna mkubwa zaid ya timu utafikiri kuna mchezaji aliwahi sema bila yeye hakuna Yanga.
Sasa huyo fei hataki kurudi yanga,
 
HATUMTAKI FEI. BORA TU TUMALIZE MAKUNDI TUJE TUWACHAPE WANYONGE WETU HUKU.
KAMA MNAMTAKA MCHUKUENI.
 
Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.

Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.

Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.

Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.

Sometimes acha tuseme ukweli.
hapana hatumhitaji mchezaji wa tabia
hizo
 
Back
Top Bottom