Qatif
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 379
- 860
Hivi nyie Utopolo namna gani.! Kwani kauli ya Rage ndo sheria? Kama ni hivyo ile kauli ya Kocha wenu Luc Eymael na Haji Manara basi itakuwa hukumu kabisa.Rejea kauli ya Rage utapata majibu, wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya.