music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
je huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli).Nilikuwa naaangalia mpira na feisal alikuwa anacheka wakati goal zinaingia kweli karma is real si aziz ki ni bora kuliko feisal mbona hajawasaidia sasa kabakia kuramba mdomo tu
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Sasa hiyo mechi umewaza asingekuwepo ungekuwaje au ndio umeangalia upande mmoja tuje huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli)
Binafsi naona pengo la Morrison kwenye michuano hii ya kimataifa na wala sijaona pengo la Feisal.
Ile mechi ya Khartoum Fei ndo alinyanganywa mpira likaenda fungwa goli.je huyo Feisal si alikuwepo kwenye michezo vs Al Hilal? Au hakuwepo? Kilichotokea leo kiufundi ni sawa sawa na mechi iliyochezwa Sudan (kucheza mpira mwingi na kumiliki mpira sana bila kupata goli)
Binafsi naona pengo la Morrison kwenye michuano hii ya kimataifa na wala sijaona pengo la Feisal.
Rejea kauli ya Rage utapata majibu, wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya.Tuacheni uongo jamani hata takwimu zinamkataa huyo Fei toto...
Asa kwani yeye ni kipa au ni beki? Si yupo kwenye safu ya ushambuliaji? Hivyo impact yake tuna ijaji kwenye matokeo ya upatikanaji wa magoli.Sasa hiyo mechi umewaza asingekuwepo ungekuwaje au ndio umeangalia upande mmoja tu
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Yaani watu wanaibuka tu na hoja huko eti Feisal lakini ukija kwenye takwimu hakuna kitu kafanya.Rejea kauli ya Rage utapata majibu ,wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya.
Fei Toto ni fundi wa kuipandisha timu ikizidiwa na anapiga mashuti. Jana pengo limeinekana naona unaleta ego za hakuna mkubwa zaid ya timu utafikiri kuna mchezaji aliwahi sema bila yeye hakuna Yanga.Yaani watu wanaibuka tu na hoja huko eti Feisal lakini ukija kwenye takwimu hakuna kitu kafanya.
Mi hata sijaleta ego wala nini ila nimesema kama anapiga mashuti na kupandisha timu basi namba lazima zingekuwepo.Fei Toto ni fundi wa kuipandisha timu ikizidiwa na anapiga mashuti. Jana pengo limeinekana naona unaleta ego za hakuna mkubwa zaid ya timu utafikiri kuna mchezaji aliwahi sema bila yeye hakuna Yanga.
Mi hata sijaleta ego wala nini ila nimesema kama anapiga mashuti na kupandisha timu basi namba lazima zingekuwepo.
Mara ya mwisho kufunga ni game na zalan na timu ya taifa mara ya mwisho kufunga ni game na madagascar kama nakumbuka vizuri.
Mara ya mwisho katika mechi za kimataifa Feisal kutoa assist hata haijulikani ni lini
Hovyoo..Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.
Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.
Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.
Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.
Sometimes acha tuseme ukweli.
Umeisoma hiyo story kwa ndani?
Sasa kati ya Fei na Yanga nani mwenye Ego??Nimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.
Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.
Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.
Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.
Sometimes acha tuseme ukweli.
Sasa huyo fei hataki kurudi yanga,Fei Toto ni fundi wa kuipandisha timu ikizidiwa na anapiga mashuti. Jana pengo limeinekana naona unaleta ego za hakuna mkubwa zaid ya timu utafikiri kuna mchezaji aliwahi sema bila yeye hakuna Yanga.
hapana hatumhitaji mchezaji wa tabiaNimetazama mechi tatu mfululizo tulizocheza ikiwe hii ya kimataifa.
Yanga tukiweka eggo zetu pembeni tunahitaji mchango wa Fei Toto.
Kwanza anaelewana vizuri na Mayele.
Na kubwa anapiga mipira ya mbali kitu ambacho tunakimiss sasa hivi timu inakaa na mpira mguuni muda mrefu bila kusababisha madhala pia hatumsumbui kipa kwa mashuti ya mbali.
Sometimes acha tuseme ukweli.