Qatif JF-Expert Member Joined Dec 16, 2014 Posts 379 Reaction score 860 Feb 14, 2023 #21 adriz said: Rejea kauli ya Rage utapata majibu, wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya. Click to expand... Hivi nyie Utopolo namna gani.! Kwani kauli ya Rage ndo sheria? Kama ni hivyo ile kauli ya Kocha wenu Luc Eymael na Haji Manara basi itakuwa hukumu kabisa.
adriz said: Rejea kauli ya Rage utapata majibu, wao wenyewe walikuwa wanasema humu Feibwa hapa hapa na gemu za kimataifa hana kitu leo wanakuja na mapya. Click to expand... Hivi nyie Utopolo namna gani.! Kwani kauli ya Rage ndo sheria? Kama ni hivyo ile kauli ya Kocha wenu Luc Eymael na Haji Manara basi itakuwa hukumu kabisa.
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Feb 14, 2023 #22 Nabi kila siku anapiga simu kwa Fei kubembeleza, inawezekana hata leo ameshapiga, anajua kuna kitu Fei anacho wengine wote hawana.
Nabi kila siku anapiga simu kwa Fei kubembeleza, inawezekana hata leo ameshapiga, anajua kuna kitu Fei anacho wengine wote hawana.
vibertz JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 2,474 Reaction score 4,726 Feb 14, 2023 #23 denooJ said: Nabi kila siku anapiga simu kwa Fei kubembeleza, inawezekana hata leo ameshapiga, anajua kuna kitu Fei anacho wengine wote hawana. Click to expand... Wewe ni mke wa Nabi au Feisal? hadi ujue simu wanazopigiana. Watanzania kwa umbea na kutunga stori mpo vizuri.
denooJ said: Nabi kila siku anapiga simu kwa Fei kubembeleza, inawezekana hata leo ameshapiga, anajua kuna kitu Fei anacho wengine wote hawana. Click to expand... Wewe ni mke wa Nabi au Feisal? hadi ujue simu wanazopigiana. Watanzania kwa umbea na kutunga stori mpo vizuri.