Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku shirikisho si ndo mlivaa hizo medali ? Au ndiyo vile Manara alivyosema?
 
Huko shirikisho hata Ruvu shooting angeongoza group. Wa mwisho makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikisho๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ unaanzaje kulinganisha?? Mbumbumbu mnachekesha sana
Kumbuka huko shirikisho mlipewa shanga mkaipeleka ikulu na unatamba nayo mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ