Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee 😂😂😂
 
Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee [emoji23][emoji23][emoji23]
Huku shirikisho si ndo mlivaa hizo medali ? Au ndiyo vile Manara alivyosema?
 
Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee 😂😂😂
Tupe msimamo wa walioko club bingwa
1000218745.jpg
 
Huko shirikisho hata Ruvu shooting angeongoza group. Wa mwisho makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikisho😀😀😀 unaanzaje kulinganisha?? Mbumbumbu mnachekesha sana
Kumbuka huko shirikisho mlipewa shanga mkaipeleka ikulu na unatamba nayo mpaka sasa
 
Back
Top Bottom