Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
community shield na round ya pili msimu uliopitaZipi hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
community shield na round ya pili msimu uliopitaZipi hizo
sawa mkuuTwende kimataifa,huku hakuna penati za mchongo Wala maamuzi ya kijanja ya refa
kwani nani hachanji mbuga mkuuWe endelea kuwa chachu,wenzio wale tunaendelea kuchanja mbuga,aahaaaa
exactlyHuu ni ukweli ambao wana Yanga hawapendi kuusikia
Ni utoto kuacha kujadili hoja. Utoto uliokomaa!Tuoneshe medali basi ya caf baada ya hayo mafanikio yako
Kwani Simba hawana ?Ni utoto kuacha kujadili hoja. Utoto uliokomaa!
Notes gani sasaYanga chukueni notes
Newcastle mfunge kwote sio kwao.Mtaelewa tu
Sidhani kama atakuja kujibu swali lakoTuoneshe medali basi ya caf baada ya hayo mafanikio yako
Huku shirikisho si ndo mlivaa hizo medali ? Au ndiyo vile Manara alivyosema?Aliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee [emoji23][emoji23][emoji23]
Tupe msimamo wa walioko club bingwaAliyeko Club bingwa ajifunze kwa shirikisho? Vichekesho kama hivj utavisikia kwa mbumbumbu pekee 😂😂😂
Medali au shanga?Huku shirikisho si ndo mlivaa hizo medali ? Au ndiyo vile Manara alivyosema?
Medali bila kombe ni sawa na shanga zinauzwa na wamasai ambazo wanavaa wakina mwajuma nipeSidhani kama atakuja kujibu swali lako
Huko shirikisho hata Ruvu shooting angeongoza group. Wa mwisho makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikisho😀😀😀 unaanzaje kulinganisha?? Mbumbumbu mnachekesha sanaTupe msimamo wa walioko club bingwa View attachment 3193571
Mbumbumbu jitahidi mvae hata hizo medali kwanza ndiyo uongee! Yaani unajisifia kuongoza kundi shirikisho??Huku shirikisho si ndo mlivaa hizo medali ? Au ndiyo vile Manara alivyosema?
Kumbuka huko shirikisho mlipewa shanga mkaipeleka ikulu na unatamba nayo mpaka sasaHuko shirikisho hata Ruvu shooting angeongoza group. Wa mwisho makundi CAFCL ni sawa na bingwa huko shirikisho😀😀😀 unaanzaje kulinganisha?? Mbumbumbu mnachekesha sana