Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari jf,

Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki.

Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi.

Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia Makundi CAF sio sahihi kuhoji kiwango kinacho ipeleka Simba makundi.

Lakini pia Yanga kacheza mechi nne kufuzu lakini hakuna mechi waliyocheza uwanja halisi wa ugenini ikiwa ina maana hizo timu kimchezo na kisaikolojia haziko katika nafasi kushindana.

Binafsi nadhani inabidi mjifunze kwanini Simba pamoja na kiwango kisicho kuwa kizuri bado anaendelea kufuzu Makundi na kufika Robo?

Mna kitu cha kujifunza hapa ,Klabu bingwa yanatafutwa matokeo na ndicho wanachofanya Al ahly ,Mamelody ..etc Simba.
 
Habari jf ,Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki .

Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi .

Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia Makundi CAF sio sahihi kuhoji kiwango kinacho ipeleka Simba makundi .

Lakini pia Yanga kacheza mechi nne kufuzu lakini hakuna mechi waliyocheza uwanja halisi wa ugenini ikiwa ina maana hizo timu kimchezo na kisaikolojia haziko katika nafasi kushindana .

Binafsi nadhani inabidi mjifunze kwanini Simba pamoja na kiwango kisicho kuwa kizuri bado anaendelea kufuzu Makundi na kufika Robo ?

Mna kitu cha kujifunza hapa ,Klabu bingwa yanatafutwa matokeo na ndicho wanachofanya Al ahly ,Mamelody ..etc Simba .
Hizo zilipendwa

Tushavuka makundi,hizo stori Baki nazo

Atakayevuka robo kati yetu ndo kidume
 
Habari jf ,Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki .

Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi .

Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia Makundi CAF sio sahihi kuhoji kiwango kinacho ipeleka Simba makundi .

Lakini pia Yanga kacheza mechi nne kufuzu lakini hakuna mechi waliyocheza uwanja halisi wa ugenini ikiwa ina maana hizo timu kimchezo na kisaikolojia haziko katika nafasi kushindana .

Binafsi nadhani inabidi mjifunze kwanini Simba pamoja na kiwango kisicho kuwa kizuri bado anaendelea kufuzu Makundi na kufika Robo ?

Mna kitu cha kujifunza hapa ,Klabu bingwa yanatafutwa matokeo na ndicho wanachofanya Al ahly ,Mamelody ..etc Simba .
Wajifunze nini sasa?
 
Mbona una fosi bifu mkuu... Hivi kuna mtu ana time na nyinyi!?
 
Mtoa mada upimwe akili sasa yanga ajifunze vp wakati msimu ulipita kafika fainal wew miaka yote robo hadi ukaroga south lakin wapi aujapita wew ndo ujifunze kwa wenzio alafu kaa ukijua shirikisho hakukuwa na timu mbovu ndo maana mume wenu al Ahly alibanduliwa na timu iliyo toka shirikisho
 
Habari jf ,Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki .

Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi .

Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia Makundi CAF sio sahihi kuhoji kiwango kinacho ipeleka Simba makundi .

Lakini pia Yanga kacheza mechi nne kufuzu lakini hakuna mechi waliyocheza uwanja halisi wa ugenini ikiwa ina maana hizo timu kimchezo na kisaikolojia haziko katika nafasi kushindana .

Binafsi nadhani inabidi mjifunze kwanini Simba pamoja na kiwango kisicho kuwa kizuri bado anaendelea kufuzu Makundi na kufika Robo ?

Mna kitu cha kujifunza hapa ,Klabu bingwa yanatafutwa matokeo na ndicho wanachofanya Al ahly ,Mamelody ..etc Simba .
SELEMANI FC
 
Back
Top Bottom