Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Habari jf,
Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki.
Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi.
Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia Makundi CAF sio sahihi kuhoji kiwango kinacho ipeleka Simba makundi.
Lakini pia Yanga kacheza mechi nne kufuzu lakini hakuna mechi waliyocheza uwanja halisi wa ugenini ikiwa ina maana hizo timu kimchezo na kisaikolojia haziko katika nafasi kushindana.
Binafsi nadhani inabidi mjifunze kwanini Simba pamoja na kiwango kisicho kuwa kizuri bado anaendelea kufuzu Makundi na kufika Robo?
Mna kitu cha kujifunza hapa ,Klabu bingwa yanatafutwa matokeo na ndicho wanachofanya Al ahly ,Mamelody ..etc Simba.