Yanga bila Fiston Mayele haitakuwemo kwenye Top 4

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga .

Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga wajue kwamba Msimu ujao hawataonja Top 4

Mayele ndiye aliyekuwa mafanikio ya Yanga kwa misimu yote miwili iliyopita (unaweza kubisha ukipenda) , baada ya yeye kuondolewa Yanga kwa Lazima tegemeeni majonzi msimu ujao .
 
Hizi ndizo nyakati zenu za kujifariji. Hata kipindi kile mnawasajili wakina Okrah na Okwah, mliikejeli Yanga kwa kusajili Wacongo wengi!

Ila mwisho wa siku Wacongo hao hao wakabeba vikombe vyote vya Ligi ya ndani.
 
Hizi ndizo nyakati zenu za kujifariji. Hata kipindi kile mnawasajili wakina Okrah na Okwah, mliikejeli Yanga kwa kusajili Wacongo wengi!

Ila mwisho wa siku Wacongo hao hao wakabeba vikombe vyote vya Ligi ya ndani.
Mpira ni pesa lakini kuuza Wachezaji wazuri maana yake ni kwamba hamuhitaji mafanikio
 
Yani wewe unadhani Yanga ni Chadema bila Mbowe? Unafeli sana.

Hebu rudi kule ukapambane na DP ya Waarabu, jukwaa hili huna upako nalo utadharaurika, ili jukwaa lina watunza takwimu muulize mwenzao okwi BOBAN SUNZU hana hamu na Uzi wake wa takwimu za Mayele na Kibu Denis.

Umeinunuwa aibu kwa gharama ya bando tu, nakuonea huruma.
 
Wewe kwenye soka huna tofauti na chief mangungu wa msovero..
Tuendelee TU kuijenga CDM YETU,HUKO HAPAKUFAI
 
Yanga sio chadema ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…