Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Unaweza kufafanua kidogo haya maelezo yako, kwa faida ya Makamanda wetu!mayele si mbowe ndugu..ikumbukwe chadema na yanga ni vitu viwili tofauti kiuwendeshaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kufafanua kidogo haya maelezo yako, kwa faida ya Makamanda wetu!mayele si mbowe ndugu..ikumbukwe chadema na yanga ni vitu viwili tofauti kiuwendeshaji
Kuna harambee ya kuchangia mnara wa kumbukumbu imepamba moto. Binafsi nimeshaahidi mifuko 20 ya sarujiHawa jina la simba tuwaondolee waitwe panya buku tu kelele kibao vitend ' 0"
Sawa mrithi wa sheikh YahayaHii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga .
Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga wajue kwamba Msimu ujao hawataonja Top 4
Mayele ndiye aliyekuwa mafanikio ya Yanga kwa misimu yote miwili iliyopita (unaweza kubisha ukipenda) , baada ya yeye kuondolewa Yanga kwa Lazima tegemeeni majonzi msimu ujao .
Kwani Anamaajabu gani? Halafu leteni clip akifunga au kutoa assist maana hayo mengine ni ziada tu aseee...Unaijuwa namba 6 inayotangazwa usiku huu na Yanga?
Wewe kuwa bize na Chadema tu kwenye mpira hakuna ulijuwalo.
Kumbe sometime unakuwa na upeo kama stivu nyerereHii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga .
Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga wajue kwamba Msimu ujao hawataonja Top 4
Mayele ndiye aliyekuwa mafanikio ya Yanga kwa misimu yote miwili iliyopita (unaweza kubisha ukipenda) , baada ya yeye kuondolewa Yanga kwa Lazima tegemeeni majonzi msimu ujao .
Mapambano yanaendelea 😄 vipi nyie huko kileleni?Watahombania nafasi ya 8 na akina ihefu
Natumai Mungu amekujalia uzima nduguNITAKUJA KUFUFUA UZI.
MUNGU NAOMBA UNIJALIE UZIMA
Naam. Risiti zionyeshwe sasa 😄Tunatunza risiti. Tutakuja hapa.
Muda upiMuda utaongea
Dili na siasa achana na mpira 😂😁🤣Hii ndio taarifa ninayoitoa leo kwa Wapenda soka wote na hasa kwa Mashabiki wa Yanga .
Baada ya Mayele kulazimishwa kuuzwa ili viongozi wa Yanga wapate Pesa, nataka wale viherehere wote wa Yanga wajue kwamba Msimu ujao hawataonja Top 4
Mayele ndiye aliyekuwa mafanikio ya Yanga kwa misimu yote miwili iliyopita (unaweza kubisha ukipenda) , baada ya yeye kuondolewa Yanga kwa Lazima tegemeeni majonzi msimu ujao .
Kwani ligi imeisha jamani ?Dili na siasa achana na mpira 😂😁🤣
Tunaomba risiti😁Tunatunza risiti. Tutakuja hapa.
Muda where?😄😄😄 Labda alimaanisha Mudathir ataongea 😄Muda upi
😁🤣🤣😁😁😁😁Kwani ligi imeisha jamani ?