Yanga bila Fiston Mayele haitakuwemo kwenye Top 4

Tunawatizama mnavyo tuombea njaa na mnaonekana mna matarajio makubwa,sasa msije kushangaa inakuwa kinyume chake naona mtaenda kwa Mo kulilia bil 20 zenu.

Manake msimu uliopita kila mkipigwa mlikuwa mnaanza kuulizia bilion 20.
 
Muda utaongea
 
Shadeeya mtani hili listriket linaloitwa sudi ni noma sana, kwenye career yake ya soka amefumania nyavu mara 3000 what is a bull striker??
[emoji116][emoji116][emoji116]
 
alikuwa anacheza peke yake?

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Makombe yote 20 na kitu yanga iliyabeba ikiwa na mayele?
 
Utaukimbia Uzi Wako Soon..
 
Ule uzi ulimshushia hadhi mpaka akahamia jukwaa la mapishi na urembo.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…