Yanga bila Fiston Mayele haitakuwemo kwenye Top 4

Sawa mrithi wa sheikh Yahaya
 
Unaijuwa namba 6 inayotangazwa usiku huu na Yanga?

Wewe kuwa bize na Chadema tu kwenye mpira hakuna ulijuwalo.
Kwani Anamaajabu gani? Halafu leteni clip akifunga au kutoa assist maana hayo mengine ni ziada tu aseee...
 
Kumbe sometime unakuwa na upeo kama stivu nyerere
 
Dili na siasa achana na mpira πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…