Yanga bila Fiston Mayele haitakuwemo kwenye Top 4

Uyo ajuza hajui chochote kinacho husiana na michezo. Labda lipo eneo jingine analo liweza.
 
Ikawaje tena?
 
Ulikuwa sahihi, Yanga haiko top 4 iko top 1.
 
Hahahahaha
 
Kuna mwenzako mwasibu alisusia uzi
 
We zombi
 
Kumbe uliwahi kuandika ujinga wa aina hii halafu sikuona! Kiko wapi sasa
 
Mayele mwenyewe ndo Yanga ilimbrand, ila masikio yakazidi kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…