feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Mpira mchezi wa wazi jamaa leo hasa kipindi chapili dk 46-90 mlipotea wazeeMkuu lakini yanga leo wameupiga,nashangaa why Yanga wakifungwa wanakuwa aggressive zaidi lakini bila kufungwa mtakimbizana kwanza, nakiri Yanga wapo vizuri tu,wangekutana tena na hii simba yetu wana uwezo wakutupasua tena,mpira wanaocheza ni tofauti,wangeendelea kucheza ule mpira wao walioanza nao ushindi ulikuwa wazi ,ila Al Ahly wajanja wakaupooza mchezo halafu wakifanya shambulizi ni gafla na pasi zinazofika,wakipata tu wanaupooza mpira tena ndo sehemu Yanga waliwezwa