Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

Mpira mchezi wa wazi jamaa leo hasa kipindi chapili dk 46-90 mlipotea wazee
 
Kwani walipenda kubadili? Au timu kubwa iliwalazimisha kubadili game na mwisho wakakata moto?
 
Al Ahly wanachezaga hivyo siku zote,wanaenda wote na wanarudi wote.
 
Jana 5-3-2 [emoji1787][emoji1787][emoji1787].gsmondi akaona bora alimwage kati .bora nusu shari kuliko shari kamili

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Sawa lakini kwa approach na game ya jana walikuwa sawa kabisa. Kimsingi ni kweli pale Mbele hakuna mbadala wa Mayele ni sawa na Simba tu kutokuwa na mbadala wa Inonga na Malone.
Mpira wa ahly umeiona kipindi cha pili?. Ule Kule Misri ndio tutakaoanza nao
 
Mliupiga mwingi[emoji16]
 
Lakini pia tukubali yanga kacheza na bingwa wa afrika ni lazima wangeingia kwa kuwaeshimu, Aly ahly sio timu ya kwenda kucheza nayo kizembe unaweza kupasuka vibaya, tahadhari kwa yanga ilikuwa kubwa ndio maana mashambulizi yalikuwa machache na counter attack za Aly ahly zilikuwa hatari sana kwenye goli la yanga, ivyo yanga nafasi bado wanayo na wataonyesha ilo wakikutana na timu ambazo Wana uwezo wa kupishana nazo Kama medeama na belouzdad majibu yatapatikana
 
Huyo Bingwa simba wakiwa wazuri walishampasua kwa Mkapa mara mbili,Yanga walitakiwa washinde no excuse hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufunga ni kazi ngumu hata striker wao Kahraba ambaye ndo top scorer wa cafcl hajafunga
Tusiwape pressure akina mzize
Me naona hizi mechi zinampa uzoefu
Atakuja kuwa striker mzuri
 
Hili linanishangaza pia, fightng spirit yao wanaipata baada ya kufungwa.
Naorodhesha wachambuzi Wazuri wa soka, umo kwenye orodha yangu Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…