Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Kila la kheri Yanga SC chama langu bingwa mara 30 πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
hii mechi tunamuomba Mola kwa bidii atuwezeshe ushindi,na wachezaji wetu tunawaomba wacheze kwa bidii kubwa na maarifa ya hali ya juu,tupate ushindi
 
Hawa mtibwa wangekua wanaeleweka tungewaachia hizi point 3 wasishuke daraja maana si tunahitaji ushindi mmoja tu kati ya mechi 4 zilizosalia

Shida watapuyanga tu huku mbele hata tukiwaachia,au waje wawe na mdomo kama makolo maana nao miaka ya nyuma tulishawahi kuwanusuru washishuke


Acha tuwapige tu
Mi naona tuwe na moyo wa huruma kwa hawa vijana wetu wakata miwa. yaani msimu huu inaonesha kuimaliza biashara mapema kabisa tena ikiwezekane leo Doctor Gamond awapange kina Nkane.
 
Wikipedia wameshaanza kujiandaa kubadili taarifa πŸ˜€ Most champions title - Young Africans sc (30 titles)
 
Karibuni tena kwenye show za Gamondi, hapa utapata burudani, Elimu na kipigo kwa wenye kiherehere πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
View attachment 2989263
View attachment 2989260

Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro.

Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza kufikiwa na club yoyote inayoshiriki Ligi Kuu, Hivyo Rasmi atatangaza ubingwa wake kwa mara ya tatu mfululizo (Champions in a row) na kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mara 30, Rekodi ambayo haijafikiwa na club yoyote hapa nchini.

Kwa upande wa pili, Mtibwa Sugar yupo katika hati ya kushuka daraja akiwa na alama 20 pekee na jumla ya michezo 26 akiwa nafasi ya mwisho kabisa katika msimamo wa Ligi.
Daimambele.
 
Back
Top Bottom