Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Kila la kheri Yanga SC chama langu bingwa mara 30 πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’›πŸ–€πŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’šπŸ’š
 
Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Jamhuri, Morogoro.
hii mechi tunamuomba Mola kwa bidii atuwezeshe ushindi,na wachezaji wetu tunawaomba wacheze kwa bidii kubwa na maarifa ya hali ya juu,tupate ushindi
 
Mi naona tuwe na moyo wa huruma kwa hawa vijana wetu wakata miwa. yaani msimu huu inaonesha kuimaliza biashara mapema kabisa tena ikiwezekane leo Doctor Gamond awapange kina Nkane.
 
Wikipedia wameshaanza kujiandaa kubadili taarifa πŸ˜€ Most champions title - Young Africans sc (30 titles)
 
Karibuni tena kwenye show za Gamondi, hapa utapata burudani, Elimu na kipigo kwa wenye kiherehere πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
 
Daimambele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…