YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Kumbe wewe ndiye yule jamaa uliyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?
 
Dah...Hongera mtani hakika mwaka huu tunatukanwa matusi mengi sana inatuumiza sana
pole mkuu nilikwambia lakini, ila usijali mpira wa bongo hautabiriki, mtakapoanza kucheka sisi ndo tutaanza kulia lakini ni mpaka aveva na genge lake waondoke pale na sisi manji aondoke pale
 
Kumbe wewe ndiye yule jamaa ukiyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?
Tunashukuru dokta yale maneno yaliyachukulia kama masimango na alikuwa kimya kabisa sasa tumefika kwake kimara akaniambia"unajua ndugu yangu nahisi kama kuna mzigo nimeutua najisikia mwepesi nimeacha anapiga ugali na kibua katupia na achali hata usoni ukimtizama ile nuru ya uhai inakuja shukran nyingi ndugu ila duh jf kiboko inakusanya fani mbalimbali.
 
Hahahaah nimeipenda hadithi yako.!
 
Chezeya dr Wonderful weye eeeh, mimi noma bhana.... πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…