YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Yaani haya mambo mengine yanashangaza karibu miezi miwili nahangaika na jamaa yangu ni mtu wa karibu sana na mimi tumezunguka hospital zote za maana lakini wapi hali inazidi kuwa mbaya ugonjwa hauonekani basi mpaka baadhi ya ndugu zake wakahisi labda mambo ya kienyeji .Kiukweli hali ilikuwa inatisha jioni hii kuna mtaalam mmoja tukaambiwa tukamuone basi akaanza kueleza namna anavyojisikia dokta kamuuliza maswali mengi mengi jamaa anajibu vizuri tu mpaka kamuuliza kama kuna mtu anamkorofisha kama wife wake au kazini jamaa kajibu hakuna dokta kamuuliza unapenda michezo?jamaa kwa madaha kabisa kamjibu "mimi simba damu damu"wacha dokta ambadilikie"kumbe unasumbua watu ugonjwa wako unaujua"ni kabakia nashangaa.
Kumbe wewe ndiye yule jamaa uliyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?
 
Dah...Hongera mtani hakika mwaka huu tunatukanwa matusi mengi sana inatuumiza sana
pole mkuu nilikwambia lakini, ila usijali mpira wa bongo hautabiriki, mtakapoanza kucheka sisi ndo tutaanza kulia lakini ni mpaka aveva na genge lake waondoke pale na sisi manji aondoke pale
 
Kumbe wewe ndiye yule jamaa ukiyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?
Tunashukuru dokta yale maneno yaliyachukulia kama masimango na alikuwa kimya kabisa sasa tumefika kwake kimara akaniambia"unajua ndugu yangu nahisi kama kuna mzigo nimeutua najisikia mwepesi nimeacha anapiga ugali na kibua katupia na achali hata usoni ukimtizama ile nuru ya uhai inakuja shukran nyingi ndugu ila duh jf kiboko inakusanya fani mbalimbali.
 
Hahahaah nimeipenda hadithi yako.!
 
Chezeya dr Wonderful weye eeeh, mimi noma bhana.... 😛😛😛
 
Back
Top Bottom