Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Mtani kwema?katika kabati letu tumeongeza ndoo nyingine.Hivi Jerry Muro kaongea nini Leo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani kwema?katika kabati letu tumeongeza ndoo nyingine.Hivi Jerry Muro kaongea nini Leo??
nimekosa nn mieUnanyemelewa na 'cyber crime law'
Kumbe wewe ndiye yule jamaa uliyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?Yaani haya mambo mengine yanashangaza karibu miezi miwili nahangaika na jamaa yangu ni mtu wa karibu sana na mimi tumezunguka hospital zote za maana lakini wapi hali inazidi kuwa mbaya ugonjwa hauonekani basi mpaka baadhi ya ndugu zake wakahisi labda mambo ya kienyeji .Kiukweli hali ilikuwa inatisha jioni hii kuna mtaalam mmoja tukaambiwa tukamuone basi akaanza kueleza namna anavyojisikia dokta kamuuliza maswali mengi mengi jamaa anajibu vizuri tu mpaka kamuuliza kama kuna mtu anamkorofisha kama wife wake au kazini jamaa kajibu hakuna dokta kamuuliza unapenda michezo?jamaa kwa madaha kabisa kamjibu "mimi simba damu damu"wacha dokta ambadilikie"kumbe unasumbua watu ugonjwa wako unaujua"ni kabakia nashangaa.
pole mkuu nilikwambia lakini, ila usijali mpira wa bongo hautabiriki, mtakapoanza kucheka sisi ndo tutaanza kulia lakini ni mpaka aveva na genge lake waondoke pale na sisi manji aondoke paleDah...Hongera mtani hakika mwaka huu tunatukanwa matusi mengi sana inatuumiza sana
Tunashukuru dokta yale maneno yaliyachukulia kama masimango na alikuwa kimya kabisa sasa tumefika kwake kimara akaniambia"unajua ndugu yangu nahisi kama kuna mzigo nimeutua najisikia mwepesi nimeacha anapiga ugali na kibua katupia na achali hata usoni ukimtizama ile nuru ya uhai inakuja shukran nyingi ndugu ila duh jf kiboko inakusanya fani mbalimbali.Kumbe wewe ndiye yule jamaa ukiyekuja Muhimbili leo kumleta jamaa yako? Mimi ndiye yule daktar, ebu niambie jamaa anaendeleaje huko?
nimekosa nn mie
Kwema mtani...! Hongereni sanaMtani kwema?katika kabati letu tumeongeza ndoo nyingine.
Hahahaah nimeipenda hadithi yako.!Tunashukuru dokta yale maneno yaliyachukulia kama masimango na alikuwa kimya kabisa sasa tumefika kwake kimara akaniambia"unajua ndugu yangu nahisi kama kuna mzigo nimeutua najisikia mwepesi nimeacha anapiga ugali na kibua katupia na achali hata usoni ukimtizama ile nuru ya uhai inakuja shukran nyingi ndugu ila duh jf kiboko inakusanya fani mbalimbali.
Sio hadithi mtani mioyo yetu inabeba mambo mengi.Hahahaah nimeipenda hadithi yako.!
Tena!shukran huo ndo uungwana ikifika waqt wetu wa kulia naamini tutakuwa pamoja lakini khalafu nimekumbuka kitu vipi wazo langu nililo kushauri?Kwema mtani...! Hongereni sana
Chezeya dr Wonderful weye eeeh, mimi noma bhana.... 😛😛😛Tunashukuru dokta yale maneno yaliyachukulia kama masimango na alikuwa kimya kabisa sasa tumefika kwake kimara akaniambia"unajua ndugu yangu nahisi kama kuna mzigo nimeutua najisikia mwepesi nimeacha anapiga ugali na kibua katupia na achali hata usoni ukimtizama ile nuru ya uhai inakuja shukran nyingi ndugu ila duh jf kiboko inakusanya fani mbalimbali.
ni mara ya 4. na ndiyo mara nyingi kuliko timu zote.hongera sana yanga sc kwa kuchukua kombe la fa kwa mara ya kwanza...
Yaani doctor nimecheki nae na kumwambia hizi khabari kashangaa sana kaniahidi tukutafute na ana mpango wa kujiunga na JF.
Eeeh, hapo sasa sawa. Mwambie tunamsubiri JF sasa maana hakuna namna.Yaani doctor nimecheki nae na kumwambia hizi khabari kashangaa sana kaniahidi tukutafute na ana mpango wa kujiunga na JF.
Msimu ujao nitakuwa jangwani lakini kwa kule kwingine nakomaa na Wenger.Tena!shukran huo ndo uungwana ikifika waqt wetu wa kulia naamini tutakuwa pamoja lakini khalafu nimekumbuka kitu vipi wazo langu nililo kushauri?