YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Yanga wana "zambi" jamani lol... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sipendi ushabiki wa aina hii...unasifia mchezaji ukiombwa cv yake unabaki kugwaya...hii stahili ndo iliyomfanya sembo akakimbia takriban miezi mitatu...uletaji wa watalii sijui utaisha lini
 
Huwa naumia sana nikimuona Frank Domayo 'Chumvi' benchi...

Domayo wa Yanga sio huyu wa Azam...So sad
 
Mpaka dakika izi yanga 1 Azam 0
 
Tatizo la yanga mara zote wanapocheza na azam wanaanza vizuri lakini wakishapata goli wanaanza kujihami kujiangusha na kupoteza muda mpaka goli linarudi ndio wanahaha kutafuta lingine wakati muda umeisha na kutengeneza droo ya kizembe.

Mara zote tunapotoka sare na Azam uwa wanachomoa wao tena kizembe sana.
 
yanga tukibeba kombe hili basi moja kwa moja aveva ajiandae kusepa maana mashabiki wa simba wataandamana kesho
 
Huwa naumia sana nikimuona Frank Domayo 'Chumvi' benchi...

Domayo wa Yanga sio huyu wa Azam...So sad
Huyu kijana huko alienda kupoteza kipaji chake. Hivi hata taifa stars kaitwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…