YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

YANGA Bingwa: Fainali ya kombe la Shirikisho Tanzania, 25.05.2016

Baadhi ya wachezaji wa azam hata hawaithamini thamani ya jezi ya Azam.
Hawajitumi kabisa.
 
Baadhi ya wachezaji wa azam hata hawaithamini thamani ya jezi ya Azam.
Hawajitumi kabisa.
Poleni...

Yanga Bingwa VPL 2015/2016

Yanga Bingwa ASFC 2016

Yanga wapo Robo Fainali ya CAF confederation cup...

Hayo mengine mkayajadilili klabuni kwenu Chamazi...

Woyo woyo woyoooooooooo

Yanga Afrika...Yanga Umoja wa Mataifa...Katika Ubora wetu

Pongezi kwa Nahodha Nadir Haroub Upapa 'Cannavaro' kwa kuliongoza vema jahazi...Pongezi kwa Makocha Hans Van De Pluijm, Juma Mwambusi na Juma Pondamali, Pongezi kwa Meneja Hafidh Saleh, Pongezi kwa Mwenyekiti Yusuph Mehboob Manji....

Wacha shangwe ziendelee....
 
Back
Top Bottom