Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikia inasema Yanga inabebwaHii Yanga sasa sifa duuuh!!
AaahAlafu tamu kuzidi "K" alooo!
Hata mi naona hivyo mkuu, wakiendelea hivi akina TP Mazembe wajipangeHuu mpira wanaocheza Yanga sio wa Tanzania
K vant kamaanisha au konyagi.....Acha bana, K habari nyingine ujue..
Aache kufananisha K na mambo ya kijinga…!Hahaah
Anaishusha hadhi.!
ni wa kimataifa mkuuHuu mpira wanaocheza Yanga sio wa Tanzania
Poleni...Baadhi ya wachezaji wa azam hata hawaithamini thamani ya jezi ya Azam.
Hawajitumi kabisa.
Ananipa rahaaa! Ungekuwa msimu wa msoga angechunguzwa! Maana kipindi kile hata ukijikwaa tume inaundwa kwanini unajikwaa sana!huyu tambwe sasa achunguzwe
k kwa maana ipi,keki auNasisitiza tena, hii game ni tamu kuliko "K" kabisaaaa.[emoji14]😛😛