Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Labda unambie Fei toto ila ao wengine sio.
Forward zenu wote tegemezi mliwachezesha wakati Simba ni MK14 tu na mlimkaba mpaka akakosa oksijen.
Mk 14 atafunga simba b sio yanga tena leo kawa kama priton
 
Kha!!,,Yanga washamba sijapata kuona,eti wanapita"oya oya'wanashangilia wamechukua ubingwa wa hii ndondo ya mapinduzi!!
Ama kweli ushamba ni mzigo.
Msingeshangiilia ushindi wa namungo kweli nyie akili hamna kama manara
 
Yanga wameibuka kuwa mabingwa wa mombe la mapinduzi 2021 baada ya kuwapiga simba kwa mikwaju ya penati ambapo yanga kashinda 4 kwa tatu
angalia mikwaju ya penati ilivyopigwa.




Yanga ooooooooooooooooooooooooooooyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Acha urongo wewe mtoto wa kike kwani leo Hawa hapa chini wamecheza?
Moro
Mwamnyeto
Yasin...
Sikia nikwambie Shilole.

Ushindi wa kwenye matuta sio wa kujiona mwamba.

Mmecheza na Simba ikiwa chini ya kocha msaidizi.

Simba ameacha nyota wake wote nje tofauti na Uto waliochezesha straicker wake muhimu pale mbele. Mashabiki wa Simba, wachezaji na viongozi wa Simba awakuwa kabisa na vibe, passion kwenye hii mechi, kwasababu tuna jambo letu la kimataifa lipombele yetu.

Akuna sababu ya kuweka nguvu kwenye ndondo wakati kuna mechi za kimataifa zenye apgrade lenk na financial returns.
 
Paka Fc Kwani Walienda Na Nyau Wao Jamani?
255788363637_status_3db06ab39ce34996a4242f528e7a20c7.jpeg
 
Sikia nikwambie Shilole.
Ushindi wa kwenye matuta sio wa kujiona mwamba....
Hivi ujasiri wa kuandika uharo huu unstoa wapi? Kama ulikuwa na jambo lako si ungemuacha Namungo fc akatinga fainali, hii ndiyo sizitaki mbichi hizi. Sister huo ndiyo uwezo wenu, jiandaeni kisaikojia mitungo zaidi inakuja, mark my words.
 
Yanga walikua na wachezaji wao wote tegemezi full ngwamba,wakati Simba mashine muhimu zote azikuwepo.
Chama.
Luis.
Boko.
Shabalala.
Kapombe.
Nyoni.
Wawa.
Bwalya.
Benchi la ufundi la Simba awakutolea macho hii fainali kwasababu mbele kuna big deal zaidi ya hii fainali ya milioni kumi ya mashindano ya visiwani.
Ndiyo hata shuti moja msipige?
 
Kuna mechi yoyote ya Simba ambayo hao wote uliowataja wamecheza kwa pamoja, sambamba nabaadhi ya hao wa kikosi cha kwanza waliocheza leo?
Yasin Mustafa, Bakari Mwamnyeto, Lamine Moro, Fei Toto, James Kaseke, Yakoiba, walichezea Yanga leo? Hao ni wa kikosi cha pili?
Nchimbi na Farred Musa
 
Mmetolea macho fainali ya milioni kumi mashindano ya visiwani eti!!?
Mngeshinda wala usingesema haya, kubali mmefungwa na kombe limeenda jangwani, hata kama ni la million 10. Million 10 isingekuwa na faida msingeshiriki mashindano, nyau FC
 
Back
Top Bottom