Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Kiufupi hiyo mechi haikuwa ya kupima ubora wa Simba au Yanga!Ilikuwa kutimiza ratiba na timu kuangalia wachezaji wake wa akiba wana uwezo gani!Lenu mlilofunga ndani ya dk 90 liko wapi, yaani wanasimba bora mnyamze tu, mnajitetea upuuzi tu
Simba:First line up,ni mchezaji mmoja tu alikuwemo kati ya 11 ambao huanza kwenye mechi!
Yanga:Walianza wachezaji 4 kati ya 11 ambao tumezoea kuwaona!
Unaweza kuona jinsi haya mashindano yanavyopuuzwa!