Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Yanga bingwa Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC

Lenu mlilofunga ndani ya dk 90 liko wapi, yaani wanasimba bora mnyamze tu, mnajitetea upuuzi tu
Kiufupi hiyo mechi haikuwa ya kupima ubora wa Simba au Yanga!Ilikuwa kutimiza ratiba na timu kuangalia wachezaji wake wa akiba wana uwezo gani!
Simba:First line up,ni mchezaji mmoja tu alikuwemo kati ya 11 ambao huanza kwenye mechi!

Yanga:Walianza wachezaji 4 kati ya 11 ambao tumezoea kuwaona!

Unaweza kuona jinsi haya mashindano yanavyopuuzwa!
 
Yanga walikua na wachezaji wao wote tegemezi full ngwamba,wakati Simba mashine muhimu zote azikuwepo.
Chama.
Luis.
Boko.
Shabalala.
Kapombe.
Nyoni.
Wawa.
Bwalya.
Benchi la ufundi la Simba awakutolea macho hii fainali kwasababu mbele kuna big deal zaidi ya hii fainali ya milioni kumi ya mashindano ya visiwani.
Huu ni uongo kiwango Cha lami
 
Mkund* wa msimbazi acheni kulia lia mnatia aibu,hoja zenu hazina mashiko
 
.ʍkɨǟ fc
IMG-20210114-WA0077.jpg
 
Kha!!,,Yanga washamba sijapata kuona,eti wanapita"oya oya'wanashangilia wamechukua ubingwa wa hii ndondo ya mapinduzi!!
Ama kweli ushamba ni mzigo.
Mmeumia sana! Hata maneno kama yanawaishia vile.
 
Kam uliangalia mpira najua uliona Nani alikuwa anakufa mapema.
Lakini pia usisahau kuwa mfungaji Bora katoka Simba, mchezaji Bora katoka Simba,na man of match wa KUTOSHA.
hyo ndo timu BORA.
penalty hazina mwenyewe.
Kufika mpaka matuta na nyau fc ndio dharau kubwa,on target 0
 
weeweew vipi weeee, sema hivi, Yanga yatwaa ubingwaa KIBABEEE Kombe la Mapinduzi baada ya kuifumuaaaaaa na kuitia adabu vilivyo tena 'ndembe ndembee' Simba sport club a.k.a nguruwe fc
 
Kam uliangalia mpira najua uliona Nani alikuwa anakufa mapema.
Lakini pia usisahau kuwa mfungaji Bora katoka Simba, mchezaji Bora katoka Simba,na man of match wa KUTOSHA.
hyo ndo timu BORA.
penalty hazina mwenyewe.
Sawa, ila mwisho wa yote "Mmefungwa kiume"
 
Back
Top Bottom