Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Swali lako ni tata sana.Ngoja niishie hapa.Kamwe amekuchukulia mume nn, mbona kama unatumia nguvu nyingi kumponda?
Mhusika ndo anajibu sahihi, ww Tulia.Swali lako ni tata sana.Ngoja niishie hapa.
Questionnaire/dodoso la sensa hilo.Mhusika ndo anajibu sahihi, ww Tulia.
Kichwa cha@shadeeya bado kinazizima...Doumbia...Doumbia...Doumbiaaaaa...!Shadeeya anaweza zungumzia ili swala
Huuu ni udhalilishaji kaka sijapendaUkikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza.
Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa chenyewe. Kwa nini asichukuliwe Mzee wa Jambia akawa msemaji wa Team?
Au Edo Kumwembe? Kuliko kukitumia hiki kijamaa na hata Privadinho wote wanapwaya sababu hawana mvuto kabisa. Wanalazimisha ni uzito wa unyoya kwa hoja na akili.
View attachment 3695892
STUPIDUkikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza.
Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa chenyewe. Kwa nini asichukuliwe Mzee wa Jambia akawa msemaji wa Team?
Au Edo Kumwembe? Kuliko kukitumia hiki kijamaa na hata Privadinho wote wanapwaya sababu hawana mvuto kabisa. Wanalazimisha ni uzito wa unyoya kwa hoja na akili.
View attachment 3695892
Mkuu inaonekana Jama alikulia demu wako au mkeo sio kwa makasiriko hayo aisee.!
Asubuhi yote hii kujadili mtu aliyekuzidi kila kitu ni hatua mbaya kuelekea Diara kutoka golini..
Upo kwenye stage ya mwisho linda sana mgongo wako mkuu…
Kamwe amekuchukulia mume nn, mbona kama unatumia nguvu nyingi kumponda?
STUPID
Hiyo picha uliyoambatanisha hapo, inaonekana ni namna gani una roho mbaya na kibarua cha mwanaume mwenzio pia hujitambui!!! Hizi timu za kariakoo hazihitaji msemaji serious, walau ujizime zime data .... waandishi wenyewe wanauliza maswali ya kiduwanzi !
Hukumbuki enzi za Jerry Muro ? Ama umekuja mjini juzi