Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza.

Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa chenyewe. Kwa nini asichukuliwe Mzee wa Jambia akawa msemaji wa Team?

Au Edo Kumwembe? Kuliko kukitumia hiki kijamaa na hata Privadinho wote wanapwaya sababu hawana mvuto kabisa. Wanalazimisha ni uzito wa unyoya kwa hoja na akili.
Ila watu wamekaa na roho mbaya sana ,yaan ww una shida na roho ya Kwa nn sana!!
 
Ila Doumbia jamani, sometimes anachekesha sana, ile movement isingekua bao, sijui angeambia nini watu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani pale ndo mngezidi kumuona garasa. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom