Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

Shadeeya anaweza zungumzia ili swala
Mimi ninachotaka kusema Mkuu hii ya sisi kufungwa na 5imba au huu mwenendo wa 5imba unavyokwenda sasa na kwetu ukiwa tofauti usitufanye tukawa wasahaulifu wa yaliyokuwa yakitokea nyuma.

Mi kwa upande wangu Ally Kamwe anafaa na aendelee kuwepo tu kwani sijaona baya kwake.

#Tuache vigeugeu.
 
Mtani we nipake tu mafuta.

Kiukweli sisi Wananchi kwa sasa inatubidi tutulie nikimaanisha tusiyachukulie mambo kwa pupa kwani bila hivyo yakiendelea kuwa mabaya si ajabu kila aliyeko kwenye nafasi yake pale Yanga tukamuona hafai.
Mola awajaze nguvu nyingi mtani.
 
Back
Top Bottom