Mimi ninachotaka kusema Mkuu hii ya sisi kufungwa na 5imba au huu mwenendo wa 5imba unavyokwenda sasa na kwetu ukiwa tofauti usitufanye tukawa wasahaulifu wa yaliyokuwa yakitokea nyuma.Shadeeya anaweza zungumzia ili swala
Yah! Hili la kukosa furaha ndio kubwa Mtani.Haya yote yanatokea kwa sababu hamna furaha.Furaha huzuia hata njaa kuinyemelea nyumba ya aliyefurahi.
Hahahaa. Daah! Mtani na hapo huyo Dumbya kafunga magoli yale ya ilimradi.Kichwa cha@shadeeya bado kinazizima...Doumbia...Doumbia...Doumbiaaaaa...!
Sema kweli mtani?Ina maana haukuiona ile chenga aliyowakusanya beki na kipa?Hahahaa. Daah! Mtani na hapo huyo Dumbya kafunga magoli yale ya ilimradi.
Sijui ingekuwaje kama angefunga magoli ya kueleweka. Lol. ππ
Uzuri wako haujinasibishagi na uongo mtani.Yah! Hili la kukosa furaha ndio kubwa Mtani.
Wakati kiuhalisia haya mambo huwa yanakwenda kama upepo leo ukivuma kwako kesho utavuma kwa mwenzako.
Ile chenga huku mpiga chenga mwenyewe anapepesuka hiyo nayo ni chenga kweli Mtani? ππSema kweli mtani?Ina maana haukuiona ile chenga aliyowakusanya beki na kipa?
Mtani we nipake tu mafuta.Uzuri wako haujinasibishagi na uongo mtani.
Zile ni mbwembwe mhanikizo kama anacheza Inde Monie ya Kanda Bongoman,mtani.Ile chenga huku mpiga chenga mwenyewe anapepesuka nayo ni chenga kweli Mtani? ππ
Mola awajaze nguvu nyingi mtani.Mtani we nipake tu mafuta.
Kiukweli sisi Wananchi kwa sasa inatubidi tutulie nikimaanisha tusiyachukulie mambo kwa pupa kwani bila hivyo yakiendelea kuwa mabaya si ajabu kila aliyeko kwenye nafasi yake pale Yanga tukamuona hafai.
Mtani mbwembwe gani sasa zile. πZile ni mbwembwe mhanikizo kama anacheza Inde Monies ya Kanda Bongoman,mtani.
Amiin Mtani.Mola awajaze nguvu nyingi mtani.
Ni aina mpya ya swagger zake.Mzivumilie na hakika mtamzoea tu.Mtani mbwembwe gani sasa zile. π
Mana hadi mwishowe akaanguka na kuanguka.
ππππHaya yote yanatokea kwa sababu hamna furaha.Furaha huzuia hata njaa kuinyemelea nyumba ya aliyefurahi.
Mtani huu wivu sasa, mabao ya Doumbia ni ya kideoni kabisaa.Hahahaa. Daah! Mtani na hapo huyo Dumbya kafunga magoli yale ya ilimradi.
Sijui ingekuwaje kama angefunga magoli ya kueleweka. Lol. ππ
Au kula ugali mkubwa kwa ugali mdogo. Yaani ugali mdogo unachukua nafasi ya mboga.Anataka aanze kula ugali kwa miwa.
Mtaniiii!! Nini hikii? Nini hii? ππππIle chenga huku mpiga chenga mwenyewe anapepesuka hiyo nayo ni chenga kweli Mtani? ππ