Yanga bora tumchukue Mzee wa Jambia awe msemaji. Hiki kituko kinachosha, hakina Mvuto

Ila watu wamekaa na roho mbaya sana ,yaan ww una shida na roho ya Kwa nn sana!!
 
Ila Doumbia jamani, sometimes anachekesha sana, ile movement isingekua bao, sijui angeambia nini watu..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani pale ndo mngezidi kumuona garasa. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mtanii hii clip ninayo, nacheka km mwehu kila nikiitazama.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Ila Doumbia khaaah.
Hapana nikae nayo tena hiyo nimeicopy huko youtube Mtani. πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…