ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hivi vi kina ambundo,denis nkane vipelekwe timu B kwa sasa tunahitaji vijana sharp na makini kama Clement mzizweAmbundo mzuri yule hata Ngushi.
Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?
Hujiulizi kwanini?
Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?
Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe
Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika
Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata
Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani
Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana
Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia
Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele
Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani
Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?
Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?
Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao
Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?
Hujiulizi kwanini?
Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?
Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe
Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika
Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata
Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani
Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana
Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia
Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele
Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani
Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?
Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?
Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao
Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
KweliNdio ivyo ila inatakiwa viongozi wetu wasilete ujanja ujanja watumie ghalama kubwa kupata Wachezaji wenye quality maana dilisha dgo la usajili kupata Wachezaji wazuli ni ghalama sana
Umewasahu bryson, bigirimana na ninja ila ambundo abaki sio mbaya na ukizingatia timu inashiriki mashindano mengi kwaiyo itahitaji rotation..Beki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
Kwa hiyo umtoe Mayele umuweke nani?Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?
Mkuu kuna muda unajaribu kuweka ushabiki pembeni na kuamua kuzungumzia mpiraUnawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Kwa sasa hali ilivyofikia ni uadui either unyamaze usitoe ushauri au uwanangeee hata kama wamefanya vizuri. Ni wachache wanakuelewa ila na wao hawawezi kukuunga mkono kwa sbb wanajua wenzao watawashambulia.Mkuu kuna muda unajaribu kuweka ushabiki pembeni na kuamua kuzungumzia mpira
Naamini hii ni platfom ambayo wadau wengi wa michezo wanaweza kuitunia kama source au kama sport facts, hata viongozi wa michezo wanaweza wakawa wanapita kuangalia maoni/mapendekezo ya wadau kuhusiana na maendeleo ya mpira
Lakini unakuja kukatishwa tamaa na watu wachache ambao wengi ukiwasikiliza hoja zao zimetawaliwa na hisia
Naweza nikasema Mayele ni mchezaji mwenye bahati ya kutengenezewa nafasi nyingi sana, lakini katiia nafasi hizo kipindi hiki amekuwa akikosa sana magoli tena yale ya wazi.
Sasa tukisema ukweli kuna watu wa umia, watu hao hao timu ikifungwa ndio huwa wakwanza kutupa lawama kwa kocha wakati washambuliaji wao wamejisa magoli mengi
Hatutaki ushauri wenu ongozeni kwanza ligi ndio mje mtu shauriUnawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Tutalifanyia kaziHatutaki ushauri wenu ongozeni kwanza ligi ndio mje mtu shauri
Mnatushauri nini sisi ushindi wetu ni tiGo pesa nyie ni halali ! mlikua mnatuombea tufungwe Tunisia mambo yamegeuka mnajifanya marafikiKwa sasa hali ilivyofikia ni uadui either unyamaze usitoe ushauri au uwanangeee hata kama wamefanya vizuri. Ni wachache wanakuelewa ila na wao hawawezi kukuunga mkono kwa sbb wanajua wenzao watawashambulia.
Sasa unanijibu mimi si umjibu aliekushauri??.mimi.naanzaje kuwashauri kwa mfano?.sinaga hiyo hobyMnatushauri nini sisi ushindi wetu ni tiGo pesa nyie ni halali ! mlikua mnatuombea tufungwe Tunisia mambo yamegeuka mnajifanya marafiki
Itategemea na kama walicheza hayo mashindano huko watakakotoka! Vinginevyo ni ruksa!Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
HuwaHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Mkuu leo umechangia kama mwanamichezo hata kama wewe ni shabiki wa simbaHao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao
Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.
Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.
Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine
Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.
Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Na isitoshe wewe ni mwanamke unaanzaje kushauri wakati kama huu ambao upo period?Sasa unanijibu mimi si umjibu aliekushauri??.mimi.naanzaje kuwashauri kwa mfano?.sinaga hiyo hoby
Dini inasema aliekutoa ubikra ndie akuoe sasa je wewe aliekutoa kakuoa?Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Duuh! Punguza ukali wa maneno japo kidogo ndunguHuwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
Daaah! Wewe ni nyota katikati ya giza.We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?
Hujiulizi kwanini?
Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?
Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe
Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika
Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata
Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani
Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana
Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia
Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele
Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani
Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?
Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?
Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao
Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
Mm naona wew unachuki binafsi tu na jamaa, amefafanua vizurii sana na ameongea ktk science ya mpira wala hajaweka ushabiki sioni sababu ya kumshambulia.Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?