Yanga dirisha dogo wafanye marekebisho maeneo haya

Kwa upande wa winga napendekeza tumchukue, Victoria Adebayo.

Huyo jamaa hakika hatutakuja kujilaumu.
 
We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?

Hujiulizi kwanini?

Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?

Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe

Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika

Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata

Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani

Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana

Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia

Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele

Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani

Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?

Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?

Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao

Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?
 
Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
 
Beki mmoja, Winga mmmoja, Fowadi mmoja na Midfielder mmoja.... Wanne tu wanatosha..
Fyeka Makambo, Fyeka Ngushi, Fyeka Kisinda, Fyeka Yusuph, Fyeka Ambundo , Charaza bakora Johola
Umewasahu bryson, bigirimana na ninja ila ambundo abaki sio mbaya na ukizingatia timu inashiriki mashindano mengi kwaiyo itahitaji rotation..
 
Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?
Kwa hiyo umtoe Mayele umuweke nani?

Makambo?

Kama hauna option zaidi ya moja utasemaje unapata kile unachokitaka?

Nasisitiza tena reasoning ni kitu cha kukipa kipaumbele unapofanya mahojiano kwenye mazingira ambayo watu rational wapo

Mayele kutokukaa benchi sio kigezo cha kumfanya awe na current Quality, pengine hakai benchi kwasababu hakuna mbadala wake mwenye nafuu atayeweza kufit kwenye nafasi yake

Hiyo post namba 15 umeikazania sana as if ni hoja ya msingi ku refute hoja zangu

Ukumbuke hata Kibu Denis alitoa assist kule Mbeya kwenye mchezo mgumu dhidi ya Prisons lakini hiyo haitoi guarantee kusema Kibu kwa saizi ame drop au hana wakati mzuri kwenye swala la ufungaji.
 
Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Mkuu kuna muda unajaribu kuweka ushabiki pembeni na kuamua kuzungumzia mpira

Naamini hii ni platfom ambayo wadau wengi wa michezo wanaweza kuitunia kama source au kama sport facts, hata viongozi wa michezo wanaweza wakawa wanapita kuangalia maoni/mapendekezo ya wadau kuhusiana na maendeleo ya mpira

Lakini unakuja kukatishwa tamaa na watu wachache ambao wengi ukiwasikiliza hoja zao zimetawaliwa na hisia

Naweza nikasema Mayele ni mchezaji mwenye bahati ya kutengenezewa nafasi nyingi sana, lakini katiia nafasi hizo kipindi hiki amekuwa akikosa sana magoli tena yale ya wazi.

Sasa tukisema ukweli kuna watu wa umia, watu hao hao timu ikifungwa ndio huwa wakwanza kutupa lawama kwa kocha wakati washambuliaji wao wamejisa magoli mengi
 
Kwa sasa hali ilivyofikia ni uadui either unyamaze usitoe ushauri au uwanangeee hata kama wamefanya vizuri. Ni wachache wanakuelewa ila na wao hawawezi kukuunga mkono kwa sbb wanajua wenzao watawashambulia.
 
Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Hatutaki ushauri wenu ongozeni kwanza ligi ndio mje mtu shauri
 
Kwa sasa hali ilivyofikia ni uadui either unyamaze usitoe ushauri au uwanangeee hata kama wamefanya vizuri. Ni wachache wanakuelewa ila na wao hawawezi kukuunga mkono kwa sbb wanajua wenzao watawashambulia.
Mnatushauri nini sisi ushindi wetu ni tiGo pesa nyie ni halali ! mlikua mnatuombea tufungwe Tunisia mambo yamegeuka mnajifanya marafiki
 
Sasa unanijibu mimi si umjibu aliekushauri??.mimi.naanzaje kuwashauri kwa mfano?.sinaga hiyo hoby
 
Hao wachezaji kumbuka hawqtoweza kushiriki michuano ya CAF msimu huu mpaka msimu ujao

Halafu kwa maslahi mapana ya Yanga, kama uongozi upo serious basi watafute striker mwingine.

Kwa kiwango alichokionesha saizi Mayele kwenye mechi nne za mwisho hana uwiano mzuri wa kukuhakikishia anafunga.

Sisemi kama hafai na kwamba anapaswa kutolewa, ila yuko katika kipindi ambacho hana form work nzuri so ni bora kwenye ile nafasi ya Makambo akatafutwa Striker mwingine

Na sometimes hata hiyo inaweza kutoa faida kwa pande zote mbili, kuanzia kwa mchezaji hadi kwa club.

Nikiwa na maana kwamba mchezaji akiona namba yake kuna mchezaji mwingine anayecheza vizuri basi lazima atakuwa anajituma kwa nguvu zake zote ili aendelee kupata nafasi
Huwa

Mkuu leo umechangia kama mwanamichezo hata kama wewe ni shabiki wa simba
 
Unawapa ushauri Yanga kuhusu mayele? Jamaa ambao wako tayari waolewe nae..kuna watu walisema wako tayari wawatoe dada zao kwa mayele... sasa watu wa hivyo utawashauri nini.
Dini inasema aliekutoa ubikra ndie akuoe sasa je wewe aliekutoa kakuoa?
 
Huwezi kua na akili timamu umemkomalia mtu kila siku Mayele .. Mayele kuna wachezaji wangapi hawajafunga hata goli moja mpka ukomae nae? huko kwenu Bocco, Kibu, Chama, Kyombo, wana magoli mangapi ? George Mpole na Sopu kipenzi chenu wako wapi unakua kama kahaba kakopwa papuchi
Duuh! Punguza ukali wa maneno japo kidogo ndungu
 
We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?

Hujiulizi kwanini?

Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?

Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe

Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika

Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata

Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani

Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana

Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia

Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele

Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani

Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?

Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?

Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao

Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu
Daaah! Wewe ni nyota katikati ya giza.

Ni mwelevu katikati ya mambumbumbu.

Inaonekana Simba yote mwenye akili ni wewe na janja janja mwamedi wengine wote ni misukule yenu mnaiburuza mtakavyo. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maelezo meengi uduvi tupu umepewa takwimu post number 15 bado ume shupaza shingo unakua na chuki na mtu it's like una mambo personal, hivi kwa ligi ya hapa bongo Mayele anaweza kaa bench timu gani?
Mm naona wew unachuki binafsi tu na jamaa, amefafanua vizurii sana na ameongea ktk science ya mpira wala hajaweka ushabiki sioni sababu ya kumshambulia.

Labda Kama Kuna sababu nyingine zaidi ya hii , vinginevyo nikushauri mwananchi mwenzangu epuka makasiriko yasiyo na sababu utazeeka mapema.
 
Back
Top Bottom