We mbona kila siku umenikomalia mimi napo msema Mayele na kwa kitendo hicho sijawahi kukufikiria kama utakuwa huna utimamu?
Hujiulizi kwanini?
Kwanini napomsema Mayele usijitokeze kwa hoja ili tubishane kwa hoja tuone kama haya nayoyasema ni uongo?
Mimi nimeanza kumsema Mayele kitambo na sijaanzia kwake tu, hata Simba nimemsema Kibu, nimemsema Enonga pale napoona wanafanya uzembe
Wachezaji wengine kushindwa kufunga magoli hiyo sio excuse ya kuacha kusema ubovu aliouonesha mchezaji husika
Pengine hao hawafungi kwasababu hawatengenezewi nafasi ambazo huyo Mayele amebahatika kuzipata
Pengine hao hawafungi kwasababu hakuna uwiano mzuri wa ubora wa kikosi chao na timu pinzani
Una ubongo wa mende unapenda sana kutumia hisia kama mwanamke na hujawahi kuwa na respond nzuri ya kiungwana
Hao wakina Kyombo tuliwahi kuwasema madhaifu yao kwenye mechi walizocheza bila kuangalia ni mchezaji wa timu nayo ishabikia
Na usikute katika hicho kipindi ambacho tunawalaumu hao kina Kyombo wewe ulikuwa unakenua mimeno na kufurahi au kutuongezea kejeli kwa kujitapa na Mayele
Labda huwezi kuwaona wanazua mjadala mkubwa humu kwasababu hawapati nafasi ya kucheza muda mwingi uwanjani
Mwana Simba gani leo hii anaweza mfichia madhaifu Kibu aliyoyaonesha kwenye recently games eti kwakua ni mchezaji wa timu yake?
Jifunze reasoning usitangulize hisia kwenye kila jambo, wakina Israh, Mzamiru wote hao sisi tumewahi kuwasema humu pale walipocheza hovyo. Lini uliwahi kuthubutu kuniambia nina chuki na Isra Mwenda?
Ni hivyo tu kwasababu hao wachezaji sio pendwa kwako na hawahudumu kwenye timu unayoishabikia na ndio maana kipindi ambacho tunazungumza madhaifu yao hukuwahi kutoka kidedea kuwatetea kuwa tuna chuki nao
Punguza hisia jitahidi uwe unashirikisha ubongo Mkuu