Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Simba Sc Mnazungumzia Mechi Ya Dar Young Africans Kulikoni Mechi Yenu Ya Huko Ivory Coast Sijui Mmekata Tamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hesabu bado ni somo gumu nchini? Tuchukulie unayowaza ndo yatokee;Ni kweli wakikaza sare wanaweza kuipata Misri ila kesho kushinda 4-0 au 5-1 ni mtihani mkubwa ndiyo maana hayo mahesabu yanakuwa magumu zaidi.
Shangaa na wewe.Hivi nyie mbumbumbu habari za goli 4 mnazitoa wapi? Yanga hahitaji kushinda goli nyingi cha msingi ashinde hata goli moja then atafte sare away , itamsaidia nini akishinda goli 5 then apoteze mechi ya mwisho?
Ila ni ngumi yanga kufunga goli nne hii ni club bingwaUnawaza ujinga usiokuwa na faida kwa unayemuwazia.
Kuelekea mechi ya mwisho, matokeo mazuri kwa Yanga ni Al Ahly ashinde dhidi ya Medeama.
Al Ahly akishinda leo anakuwa amefuzu kwa kufikisha point tisa hivyo mechi ya mwisho itakuwa ngumu ila haitokuwa ngumu kama Al Ahly angetafuta nafasi ya kufuzu.
Kesho Yanga anatakiwa ashinde ushindi wowote ule, ila kama atashinda goli nne basi atakuwa ameshafuzu moja kwa moja kama Al Ahly atashinda leo
Sawa ila ushindi wowote kwake utamuweka pazuri
Nadhani ameandika kama mwanamichezo ili kuonesha alternative nyingine ambayo Yanga wanaweza kuitumia kwa ajili ya kuingia kwenye hatua ya robo fainali.Umeandika gazeti lote hili kuwashauri utopolo, baadae muanze kulalamika Mangungu hafai[emoji1][emoji1], Hivi mbumbumbu kwann huwa mnapoteza Muda mwingi kwa ajili ya sisi utopolo ili hali nyie mnayo matatizo kibao tu zaidi yetu
vipi kama Jwaneng akishinda alafu Simba atoe draw na ASEC Memosas nini kitatokea maana akili zenu zote zipo kuishauri YangaNadhani ameandika kama mwanamichezo ili kuonesha alternative nyingine ambayo Yanga wanaweza kuitumia kwa ajili ya kuingia kwenye hatua ya robo fainali.
Achana nae boya huyo, tena ile ya matuta Al Ahly aliendeshwa balaa, na kipindi kile Al Ahly ilikuwa tishio sio hii ya sasa.Labda kama umetoka kwenu buseresere juzi Yanga kasha toa sare hapo Cairo , washa pelekana matuta na Al Ahly, washa cheza hadi extra time
Acha ubishi basi mpumbavu wewe, kama huna rekodi kaa kimya.Da hizi habari ulipata wapi?yanga alifungwa goli moja bila ,kwa sababu nyubani alishinda moja bila wakaenda matuta .Kabla ya kuandika fahamu uachoandika ,yanga hajawahi kutoa sare cairo.
Sibishani na vitoto,na uwe na adabu kichwa chako kimejaaa funza tupu na hakuna unachokijua kwenye mpira.Acha ubishi basi mpumbavu wewe, kama huna rekodi kaa kimya.
Yupo sahihiAcha ubishi basi mpumbavu wewe, kama huna rekodi kaa kimya.
Mahesabu ya kijinga kabisa... Yaani yanga ashinde mechi ya kesho afu akadrwa kwa Alh Ahly asifuze?. Hizo hesabu unazitoa wapi..... 5+4= 9.inahitaji amfunge CRB kwa tofauti ya goli 4 jambo ambalo ni gumu
Nani amekwambia yanga kufuzu anahitahi kufunga gori 4... Upumbavu wakutokujua Jambo mnakuja na upuuzi..
Ikiwa Yanga kesho akishinda kwa goli 4-0, anakuwa anafikisha points 8Nani amekwambia yanga kufuzu anahitahi kufunga gori 4... Upumbavu wakutokujua Jambo mnakuja na upuuzi..
Hakuna mtu mwenye akili timamu akaja na upuuzi huu!, Yanga ana mechi mbili na zote anazipigia hesabu, yaani aiingize timu kwa pressure ya gori 4 ili iwe nini? Mwenye akili na mtu wa mpira anaweza yanga ipate ushindi wa Aina yoyote afu akamalizane na Aly Ahly. Over. Hizi habari za Gori 4 ni upuuzi usio na maaana kwa mechi ya kesho.... Ingekuwa mechi ya mwisho sawa.Ikiwa Yanga kesho akishinda kwa goli 4-0, anakuwa anafikisha points 8
Akienda kucheza na Al Ahly na kupoteza mechi hiyo, atabakiwa na points 8
Ikiwa CRB ikashinda mechi yake ya mwisho ya nyumbani, atafikisha points 8 kama Yanga
Timu zikilingana points, kitu cha kwanza kinangaliwa ni Head to Head, mechi ya kwanza CRB ilishinda 3-0, Yanga akishinda 4-0 kesho anakuwa amefuzu, kwasababu anafaida ya goli 1 zaidi dhidi ya CRB
Kwahiyo mechi ya Cairo inakuwa ni ya kukamilisha ratiba na kuona nani atamaliza wa kwanza
yanga alishinda Moja bila dar , akafungwa Moja bila Cairo , yanga katolewa kwenye penaltNa kipindi kile wame enda extra time ilikuaje?
Sio kweli walitoka 1-1 Dar wakaenda Cairo wakatoka 1-1 goli alifuga Donald Ngoma mechi ikaenda extra time Al Ahly wakapata goli dakika za mwisho Kocha Hans alimtoa Kaseke sikumbuki nani aliingia hio mechi ilikua 2016yanga alishinda Moja bila dar , akafungwa Moja bila Cairo , yanga katolewa kwenye penalt
yanga alishinda Moja bila dar , akafungwa Moja bila Cairo , yanga katolewa kwenye penalt