Atoke wapi sasa.Nimesoma nikatafakari je huyu ana nia nzuri kweli na Yanga? Mpira ni mchezo wa wazi, Yanga ina uhitaji wa mshambuliaji aliyekamilika anayejua kujiposition na kulijua lango.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atoke wapi sasa.Nimesoma nikatafakari je huyu ana nia nzuri kweli na Yanga? Mpira ni mchezo wa wazi, Yanga ina uhitaji wa mshambuliaji aliyekamilika anayejua kujiposition na kulijua lango.
Mfumo wa Gamondi hautegemei washambuliaji, unaweza kujidanganya hapa ukaleta mshambuliaji lakini kama hatengenezewi nafasi na wenzake utasema hafai. Mfumo wa Gamondi Max, Aziz na pacome muda wote wanapiga mashuti kutaka kufunga wenyewe badala ya kumpa pasi mshambuliaji afunge. Mzize na Musonda wanapewa pasi chache sana za mwisho ndio maana hawana magoli mengi. Konkoni ni bonge la mshambuliaji kama angekuwa anatengenezewa nafasi na wenzake kama alizokuwa akitengenezewa Mayele.Konkon inabidi awekwe chini aseme ana tatizo gani,
Mpaka tumemsajili means tuliona ana kitu kikubwa! Sasa tokea aje anapuyanga tu.
Zote ziko hapohapo tu, hata lile bao la Kibabage lingekubaliwa na line one timu zote kwenye kundi zingekuwa mulemule tu. Angalia makundi yote hali ni hiyohiyo tu. Kweahiyo ni mshambuliaji gani kutoka Simba, Medeama, Jneng, Asec, TP Mazembe, Atletico, au Wydad unaona ni bora kuliko Musonda, Mzize au Konkon?Unaposema sio Yanga tu ni timu zote kubwa Afrika nakushangaa, Yanga ana point mbili na goli mbili, ni timu gani kubwa Afrika ambayo ina goli mbili na point mbili?
Kila mtu anasema Yanga wanahitaji mshambuliaji hodari lakini hakuna anamtaja jina huyo mshambuliaji na atoke timu gani ambae ana uwezo zaidi ya Musonda, Mzize au Konkoni ili wote tuseme kweeeli huyu ni zaidi yao. Labda mchezaji huyo wanaemtaka aje Yanga ni mali halali ya Al-Ahly, US- Algers, Wydad, mamelods, Zamaleck au CRB. Simba walimleta Onana hapa kutoka timu za Rwanda mbona sasa wanasonya tu? Musonda kaja hapa kutoka Zambia akiwa mfungaji bora, Hafiz hivyohovyo alitoka ligi ya Ghana akiwa bora. Ni kiasi cha kuwatumia tu kama walivyokuwa wakitumiwa huko kwenye timu zao.Atoke wapi sasa.
Tatizo tunakariri kuwa wachezaji wazuri lazima atokee timu kubwa angalia Asec Mimosa wameuza wachezaji wazuri na wakofit na wachezaji wao hawana umaarufu, angalia wale Medeama washambuliaji wao walivyokuwa na akili ya kutuliza maji, kuwageuza na kuwafanya wanavyotaka wachezaji wa timu pinzani. Kuna vipaji vipo vingi tu nje ya wanaonekana kwenye timu zinazoshiriki klabu bingwa.Mshambuliaji huyo (gold standard) ni kama yupi? anachezea timu gani Sasa hivi? Je, hiyo timu yake imeingia makundi CAF champions? Kama imeingia imeshinda mechi ngapi na yeye amefunga magoli mangapi kati ya hayo?.
Tatizo la mashabiki ni kuwa na matarajio makubwa kupita kiasi. Wanataka ghafla Simba na Yanga zifunge kila timu wanazokutana nazo, zikiwemo Al Ahly, Mamelody, Wydad, Raja na nyinginezo. Wanarahisisha mno maisha.Kila mtu anasema Yanga wanahitaji mshambuliaji hodari lakini hakuna anamtaja jina huyo mshambuliaji na atoke timu gani ambae ana uwezo zaidi ya Musonda, Mzize au Konkoni ili wote tuseme kweeeli huyu ni zaidi yao. Labda mchezaji huyo wanaemtaka aje Yanga ni mali halali ya Al-Ahly, US- Algers, Wydad, mamelods, Zamaleck au CRB. Simba walimleta Onana hapa kutoka timu za Rwanda mbona sasa wanasonya tu? Musonda kaja hapa kutoka Zambia akiwa mfungaji bora, Hafiz hivyohovyo alitoka ligi ya Ghana akiwa bora. Ni kiasi cha kuwatumia tu kama walivyokuwa wakitumiwa huko kwenye timu zao.
Siyo Viongozi hawa wa utopoloniViongozi wanapokea taarifa ya kocha na wasaidizi wake kabla ya kufanya usajili na sio vinginevyo .
Wanataka eti mshambuliaji kama mayele, lakini wanasahau kuwa hata mayele hafungi kivileee huko aliko sasa!! Kama Hersi atawasikiliza sana wachambuzi na mashabiki ataingia hasara tu!!Tatizo la mashabiki ni kuwa na matarajio makubwa kupita kiasi. Wanataka ghafla Simba na Yanga zifunge kila timu wanazokutana nazo, zikiwemo Al Ahly, Mamelody, Wydad, Raja na nyinginezo. Wanarahisisha mno maisha.
Ukileta mshambuliaji mzuri mdogo kutoka timu ndogo akija yanga akafanya vizuri ataondoka tu kwenda timu zenye fedha katikati ya mkataba au mwisho wa mkataba wake. Mfano, Yanga haitakuwa na ubavu wa kuwabakisha akina Max, Pacome na Aziz kama wataendelea kufanya vizuri.Tatizo tunakariri kuwa wachezaji wazuri lazima atokee timu kubwa angalia Asec Mimosa wameuza wachezaji wazuri na wakofit na wachezaji wao hawana umaarufu, angalia wale Medeama washambuliaji wao walivyokuwa na akili ya kutuliza maji, kuwageuza na kuwafanya wanavyotaka wachezaji wa timu pinzani. Kuna vipaji vipo vingi tu nje ya wanaonekana kwenye timu zinazoshiriki klabu bingwa.
Hilo haliepukiki, na hilo haijalishi mchezaji anatoka timu ndogo au kubwa akifanya vizuri vigogo wenye fedha wanabeba iwe mchezaji au makocha.Ukileta mshambuliaji mzuri mdogo kutoka timu ndogo akija yanga akafanya vizuri ataondoka tu kwenda timu zenye fedha katikati ya mkataba au mwisho wa mkataba wake. Mfano, Yanga haitakuwa na ubavu wa kuwabakisha akina Max, Pacome na Aziz kama wataendelea kufanya vizuri.
Pasi mchezaji anapewa kutokana na ulivyoji position, Mzize na Musonda ni nadra kuwakuta kwenye box la mpinzani, huwa wanajikaba wenyewe kwa kujificha kwa mpinzani. Mzize juzi kapata mpira wa counter anasua sua kufanya maamuzi mpaka kapokonywa. Hao wakina Pacome wanaamua kupiga shuti baada ya kuona hakuna mtu kwenye box aliyekuwa katika nafasi nzuri. Kuna mipira kibao hupenyezwa lakini Musonda au Mzize huchelewa kwenda na move. Juzi kwenye mechi ya Medeama tena Mzize yeye na kipa kapewa pasi ya kupenyezwa lakini kashindwa kulenga goli.Mfumo wa Gamondi hautegemei washambuliaji, unaweza kujidanganya hapa ukaleta mshambuliaji lakini kama hatengenezewi nafasi na wenzake utasema hafai. Mfumo wa Gamondi Max, Aziz na pacome muda wote wanapiga mashuti kutaka kufunga wenyewe badala ya kumpa pasi mshambuliaji afunge. Mzize na Musonda wanapewa pasi chache sana za mwisho ndio maana hawana magoli mengi. Konkoni ni bonge la mshambuliaji kama angekuwa anatengenezewa nafasi na wenzake kama alizokuwa akitengenezewa Mayele.
timu zetu zinasaidia timu kubwa kwenye kufanya scouting ya wachezaji na makocha wazuri, hahaha!! Mbaya zaidi hata mikataba ya timu na wachezaji ni ya hovyo/legelege kuwa mchezaji akishang'ara anaweza kuondoka atakavyo kwenda anakotaka wakati wowote, na ukibisha mkataba ukiisha atagoma kusaini kuongeza mkataba na ataondoka kama mchezaji huru. Ukibisha zaidi atapita huku na kule hadi amri kutoka "juu" ikuamuru umwachie.Hilo haliepukiki, na hilo haijalishi mchezaji anatoka timu ndogo au kubwa akifanya vizuri vigogo wenye fedha wanabeba iwe mchezaji au makocha.
mchezaji uwe wapi kwenye uwanja ukiwa na mpira na usipokuwa na mpira inatoka kwenye uwanja wa mazoezi kaka. Mbona kocha hagombi wala kuwapa maelekezo wakati wa mechi mzize na musonda wasipokuwa kwenye eneo la ushambuliaji? Hii ni kuonyesha kuwa wamepewa majukumu mengine pale uwanjani, hilo la kufunga ni kama jukumu la ziada tu. Ndio maana Yanga kila mchezaji anashuti golini. Hii ni tofauti na Nabi ambae midfielders wote walikuwa wanamtafuta mayele alipo ili wampasie, na ndio maana mayele alikuwa akifunga sana lakini alikuwa akipoteza pia chances nyingi za wazi za kufunga. Kule Pyramids hawezi kufunga sana kwakuwa hakuna wachezaji wanaolazimika kumpasia Mayele ili afunge. hata gamondi wachezaji hawalazimiki kuwapasia washambuliaji wafungu bali mshambuliaji atafute mwenyewe mpira kokote ulipo ili afunge kama akipata chancePasi mchezaji anapewa kutokana na ulivyoji position, Mzize na Musonda ni nadra kuwakuta kwenye box la mpinzani, huwa wanajikaba wenyewe kwa kujificha kwa mpinzani. Mzize juzi kapata mpira wa counter anasua sua kufanya maamuzi mpaka kapokonywa. Hao wakina Pacome wanaamua kupiga shuti baada ya kuona hakuna mtu kwenye box aliyekuwa katika nafasi nzuri. Kuna mipira kibao hupenyezwa lakini Musonda au Mzize huchelewa kwenda na move. Juzi kwenye mechi ya Medeama tena Mzize yeye na kipa kapewa pasi ya kupenyezwa lakini kashindwa kulenga goli.
Mayele alikuwa target man wa Man na wachezaji wote wa Yanga walikuwa wanapeleka mipira kwa Mayele akijua kuwa ndiye mtu anayejua kufunga. Gamondi pengine hata mazoezini anaona Musonda, Mzize na Konkoni hawajaridhishi katika kujua kufunga hivyo kaona hana mtu wa kufundisha wachezaji wake wapeleke mipira kwake bali kaona yeyote aliyekuwa na nafasi nzuri ya kufunga na afunge. Sababu hana mtu anayeweza simama mbele kama straika wa kutumainiwamchezaji uwe wapi kwenye uwanja ukiwa na mpira na usipokuwa na mpira inatoka kwenye uwanja wa mazoezi kaka. Mbona kocha hagombi wala kuwapa maelekezo wakati wa mechi mzize na musonda wasipokuwa kwenye eneo la ushambuliaji? Hii ni kuonyesha kuwa wamepewa majukumu mengine pale uwanjani, hilo la kufunga ni kama jukumu la ziada tu. Ndio maana Yanga kila mchezaji anashuti golini. Hii ni tofauti na Nabi ambae midfielders wote walikuwa wanamtafuta mayele alipo ili wampasie, na ndio maana mayele alikuwa akifunga sana lakini alikuwa akipoteza pia chances nyingi za wazi za kufunga. Kule Pyramids hawezi kufunga sana kwakuwa hakuna wachezaji wanaolazimika kumpasia Mayele ili afunge. hata gamondi wachezaji hawalazimiki kuwapasia washambuliaji wafungu bali mshambuliaji atafute mwenyewe mpira kokote ulipo ili afunge kama akipata chance
Yes, ifike mahali mchambuzi au shabiki akisema timu inahitaji striker, holding midfielder, defender, goal keeper au winger waje na majina yao na timu wanakopatikana, na gharama za kuwapata. Hawa watu wanawakatisha tamaa wawekezaji wetu kwenye soka.Wanataka eti mshambuliaji kama mayele, lakini wanasahau kuwa hata mayele hafungi kivileee huko aliko sasa!! Kama Hersi atawasikiliza sana wachambuzi na mashabiki ataingia hasara tu!!
Kwa falsafa ya Gamondi hata Mayelle akirudi Yanga hatafunga magoli mengi. Nabi ariruhusu wachezaji wampe pasi nyingi ili afunge magoli mengi na awe mfungaji Bora wa ligi dhidi ya George Mpole na Saido.Mayele alikuwa target man wa Man na wachezaji wote wa Yanga walikuwa wanapeleka mipira kwa Mayele akijua kuwa ndiye mtu anayejua kufunga. Gamondi pengine hata mazoezini anaona Musonda, Mzize na Konkoni hawajaridhishi katika kujua kufunga hivyo kaona hana mtu wa kufundisha wachezaji wake wapeleke mipira kwake bali kaona yeyote aliyekuwa na nafasi nzuri ya kufunga na afunge. Sababu hana mtu anayeweza simama mbele kama straika wa kutumainiwa
Tunataka namba 9, acha ucha-goat wa hovyomchezaji uwe wapi kwenye uwanja ukiwa na mpira na usipokuwa na mpira inatoka kwenye uwanja wa mazoezi kaka. Mbona kocha hagombi wala kuwapa maelekezo wakati wa mechi mzize na musonda wasipokuwa kwenye eneo la ushambuliaji? Hii ni kuonyesha kuwa wamepewa majukumu mengine pale uwanjani, hilo la kufunga ni kama jukumu la ziada tu. Ndio maana Yanga kila mchezaji anashuti golini. Hii ni tofauti na Nabi ambae midfielders wote walikuwa wanamtafuta mayele alipo ili wampasie, na ndio maana mayele alikuwa akifunga sana lakini alikuwa akipoteza pia chances nyingi za wazi za kufunga. Kule Pyramids hawezi kufunga sana kwakuwa hakuna wachezaji wanaolazimika kumpasia Mayele ili afunge. hata gamondi wachezaji hawalazimiki kuwapasia washambuliaji wafungu bali mshambuliaji atafute mwenyewe mpira kokote ulipo ili afunge kama akipata chance