Yanga epuka mpango wa kusajili washambuliaji dirisha dogo, walioko wanatosha kabisa

Konkoni mpira upo basi tu kocha ana wenge
 
[emoji817] uko sahih kbsa
 
Walioppo wanatosha sioni sababu ya kuwanunua mastrike

Kwanza kwa SAS HV duniani kote Kuna shida za mastrike kote ulimwenguni Sasa huyo anaekuja atayoka wapi jmn
 
Walioppo wanatosha sioni sababu ya kuwanunua mastrike

Kwanza kwa SAS HV duniani kote Kuna shida za mastrike kote ulimwenguni Sasa huyo anaekuja atayoka wapi jmn
Hata El shahat hafungi sembuse Mzize
 
Naweza nikakuunga mkono
Niunge mkono tu kaka. Timu hii haihitaji kuacha mchezaji wala kupata mshambuliaji, waliopo wanatosha kabisa kwakuwa waliopo wanafunga magoli mengi kuliko timu zenye washambuliaji bora. Hata Hafiz huyu kama akipewa muda na mechi nyingi kwenye mashindano ya mapinduzi na kupewa mfumo unaotumia mawinga kumwaga maji kwa Konkoni naweza kuwa mchezaji hatari sana kikosini. Gamondi hataki mfumo unaoegemea kwa washambuliaji tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…