Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Washatokea uwanjani.??Yanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
View attachment 1777590
Timu iko uwanjani baada ya nusu saa tunatoa timu!Washatokea uwanjani.??
Washushwe Daraja haiwezekani kuigomea mamlaka. !
Acheni kuhaha mnataka kukimbia kipigo.!Timu iko uwanjani baada ya nusu saa tunatoa timu!
Unaanzishaje uzi kabla ya kupitia yaliyomo humu walau page ya sports? Mnajaza serverYanga naona wanajitambua, hawataki kupelekeshwa.
View attachment 1777590
Upunguani huanza hivi hiviWashatokea uwanjani.??
Washushwe Daraja haiwezekani kuigomea mamlaka. !
Nipe stepsUpunguani huanza hivi hivi