Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes , ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana
Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize , unamkabaje Mzee wa miba ?
TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili , iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB
Sikuelewa kabisa jambo lileNimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?
Pia niliwahi kuhoji kule Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kuhusu suala la shughuli rasmi ya TFF au ZFF (mfano kama leo mashindano ya FA) kuvamiwa na timu mojawapo kwa kufanya mambo binafsi kama kutambulisha wachezaji. Nilihoji kule Zanzibar na leo nakumbushia tu. Kiprotocali hii haijakaa sawa maana inaonyesha timu zinazocheza mechi hiyo hazina nguvu sawa katika mizania ya wanaoendesha mashindano husika.
Ukihoji mambo kama haya Watakuona wewe Kolo au Utopolo kutegemea na upande uliohoji.Nimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?
Pia niliwahi kuhoji kule Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kuhusu suala la shughuli rasmi ya TFF au ZFF (mfano kama leo mashindano ya FA) kuvamiwa na timu mojawapo kwa kufanya mambo binafsi kama kutambulisha wachezaji. Nilihoji kule Zanzibar na leo nakumbushia tu. Kiprotocali hii haijakaa sawa maana inaonyesha timu zinazocheza mechi hiyo hazina nguvu sawa katika mizania ya wanaoendesha mashindano husika.
Hatutajali majungu , tutahoji tuUkihoji mambo kama haya Watakuona wewe Kolo au Utopolo kutegemea na upande uliohoji.
😆😆😆😆Mkuu Ile Ni Mbinu Tumekuja Nayo Pale Yale Macho Hakulala Ila Sio Red Eyes [emoji23]
Aisee mmefikia hatua mbaya ya kuchanganyikiwa.Nimechukua likizo ya muda mrefu kwenye mijadala ya Simba na Yanga ila niseme tu kuwa hii ni kasoro kubwa sana iliyojitokeza leo. Utaruhusuje mchezaji aliye na ugonjwa wa kuambukiza acheze?
Pia niliwahi kuhoji kule Zanzibar kwenye Mapinduzi Cup kuhusu suala la shughuli rasmi ya TFF au ZFF (mfano kama leo mashindano ya FA) kuvamiwa na timu mojawapo kwa kufanya mambo binafsi kama kutambulisha wachezaji. Nilihoji kule Zanzibar na leo nakumbushia tu. Kiprotocali hii haijakaa sawa maana inaonyesha timu zinazocheza mechi hiyo hazina nguvu sawa katika mizania ya wanaoendesha mashindano husika.
Katika mambo yote haya mawili nazipeleka lawama zaidi kwa TFF kwa kushindwa kusimamia taratibu zake ipasavyo ingawa Yanga kwenye suala la Mzize wameonyesha uzembe mkubwa mnooo.
kumbe kuna muda unakuwa na akiliKuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana.
Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba?
TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili, iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB.
Red eyes huwa haina dawa, ni kuosha macho kwa maji masafiKuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana.
Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba?
TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili, iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB.
Hakuna tajiri asiye na akilikumbe kuna muda unakuwa na akili
Alikua na mazoezi makali... mbinu za ushindi hizoMkuu Ile Ni Mbinu Tumekuja Nayo Pale Yale Macho Hakulala Ila Sio Red Eyes [emoji23]
Kwahiyo ?
Aiseeeee
Erythrocyte Ameshindwa Kung'amua Hilo.Alikua na mazoezi makali... mbinu za ushindi hizo