Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ulimpima wewe Kuona anaumwa iyo red eyes? Mtu akivimba tu macho basi ni red eyes?Kuchezesha Mzize aliyevimba macho kwa ugonjwa wa Red Eyes ni ushahidi wa wazi kwamba timu hii haina Daktari na ni aibu sana.
Uchunguzi unaonyesha kwamba Mzize amefunga mabao mawili baada ya Wachezaji wa Njombe kumuachia ili asiwaambukize, unamkabaje Mzee wa miba?
TFF inapaswa kuingilia kati jambo hili, iko siku tutawekewa mchezaji mwenye ukurutu ama TB.