Yanga haina Daktari wa Timu?

Ulimpima wewe Kuona anaumwa iyo red eyes? Mtu akivimba tu macho basi ni red eyes?
 
Nani alikuambia Red ayes ni ungonjwa wa kuambukiza?
 
Wewe jamaa hua huna akili ila hujijui kutambulisha mchezaji kwenye mechi official mbona kawaida kaangalie siku PSG wanawatambilisha Messi, Ramos na Donarumma ilikua aje, Real Madrid wanafanya hizo mambo sana hasa timu ikipata tuzo au mchezaji akipewa tuzo inatambulishwa uwanjani kabla ya mechi, Man city pia walitambulisha kombe la dunia la vilabu sijui nongwa inatoka wapi
 
Wivu ni mzigo
 
Wewe kichwa maji kabisa, tuambie ni kanuni ip au sheria ipi ya mpira wa miguu iliyovunjwa kwa Yanga kumtambulisha mchezaji siku ya mechi? Yanga ni mwenyeji wa mchezo hivyo ana uwezo wa kutumia muda kabla ya mechi haijaanza kufanya jambo lao au muda wa mapumziko. Asa chuki na wivu wako kwa Yanga usikutoe akili.
 
Siku hizi mmekuwa na taaluma ya Udaktari? Mlimpima mkamuona anaumwa macho?
 
Niliwahi kusema humu kuwa SAYVILLE anaongoza kwa kuwa mweupe kichwani kwenye hili jukwaa.
 
😁😂😂
 
Siku hizi mmekuwa na taaluma ya Udaktari? Mlimpima mkamuona anaumwa macho?
Mtangazaji wa AZAM TV anayejulikana ni shabiki lia lia wa Deportivo de Utopolo aliyasema maneno hayo katika matangazo ya mechi hiyo. Bila kumsikia yeye wala nisingejua haya. Inawezekana mlidhani ni sifa ndiyo maana kuna wengine wanajisifu pamoja na kuumwa bado amepiga hattrick. Kaeni chini mkubaliane mjibu nini kuhusu tuhuma hizi ndiyo mtujibu maana mnarukaruka tu kama maharage ya Mbeya.

Kwa kumalizia, ukiendelea kunitaja halafu unaandika maneno unayotoa matakoni badala ya kujibu hoja zangu, nitakublock na hautanisikia milele tena hata ujilize vipi.
 
Deportivo de Utopolo hakuwa mwenyeji wa mechi ya jana wala hakuwa mwenyeji wa mechi ile aliyotambulishwa Okrah kule Zanzibar.

Hata ukisema ufanye hivyo kwa kuwa ni mwenyeji kuna namna ya kufanya bila kuonekana kuwa ni shughuli binafsi ya klabu. Unadhani kwenye mechi ya CAF, Utopolo de Dar es Salaam kwa kuwa tu anacheza kwa Mkapa wanaweza kujiamulia wakati wa mapumziko kumshusha uwanjani MC Mboneke halafu wakazima taa za uwanjani ili kumtambulisha mlevi mmoja kama mchezaji wao mpya?
 
Ukihoji mambo kama haya Watakuona wewe Kolo au Utopolo kutegemea na upande uliohoji.
Hahahahahahaha..kuna mtu hapo juu anadai yanga inaendeshwa na wahuni...kasahau kuwa ana uzi humu anawaita viongozi wa simba wahuni wajinga ..watanzania bhana
 
Hahahahahaha kwahiyo mtangazaji alimpima ? Sio kwamba ametoka kupona ?

Ila watanzania nisiwaingilie mnajuana
 
Halafu ukiwasikia wao wanavyotetea ndipo utajua hii timu mwenye akili ni mmoja tu JK peke yake.
 
Hahahahahaha kwahiyo mtangazaji alimpima ? Sio kwamba ametoka kupona ?

Ila watanzania nisiwaingilie mnajuana
Yeye kama mwandishi wa media rasmi ya mashindano ndiyo amepewa mamlaka rasmi inayotambulika ya kutupa taarifa mubashara ya kile kinachotokea uwanjani. Badala ya kuuliza kama aliyetoa taarifa alimpima mnatushambulia sisi tunaotumia taarifa hizo tulizopokea. Halafu mnapata ujasiri wa kutuhoji sisi.
 
Kwahiyo siku hizi watangazaji ndio madaktari? Mchezaji anayeumwa hawezi kuwa comfortable hata kidogo kucheza mpira. Ukiona mtu anacheza mpira basi ujue yupo 100% mental and physical fit.
 
Hahahahahaha..kamisaa na refa wasingemuruhusu kucheza
 
Kwahiyo siku hizi watangazaji ndio madaktari? Mchezaji anayeumwa hawezi kuwa comfortable hata kidogo kucheza mpira. Ukiona mtu anacheza mpira basi ujue yupo 100% mental and physical fit.
Soma post #37
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…