Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na mdhungu. Ni bahasha tu ilitumika jana ili tufungwe.
Basi wanasimba wenzangu, naomba tujuzane kama mgao wetu mashabiki umetoka ili tupate japo chai maana njaa inauma sana.
Basi wanasimba wenzangu, naomba tujuzane kama mgao wetu mashabiki umetoka ili tupate japo chai maana njaa inauma sana.