Yanga haiwezi kushinda bila bahasha ya kaki, mashabiki wenzangu wa Simba vipi mmeshapata mgao?

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
8,252
Reaction score
18,335
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni timu mbovu, haiwezi kuifunga Simba, the unstoppable. Timu yenye Chama, Okra, Okwa, Sakho, Inonga na mdhungu. Ni bahasha tu ilitumika jana ili tufungwe.

Basi wanasimba wenzangu, naomba tujuzane kama mgao wetu mashabiki umetoka ili tupate japo chai maana njaa inauma sana.
 
[emoji2]
 
Fumbafu thana
 
Uliona ule mlango waliongilia wakipigwa faini waanzee kulaumu tff
 
mnaanza tambo zenu za kibwege,embu achaneni na Simba yetu.
 

...........Yule Ceo wenu alikunja mingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ