Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,Kama Yanga amepewa mwongozo na CAS ina maana wanasheria wenu hawakujua utaratibu wa kupeleka kesi CAS ni mpaka uanzie huko TFF?
Kama walijua basi lazima tukubaliane kuwa waliwadanganya viongozi wenu kuwa ipo namna ya Yanga kusikilizwa pasipo kupitia huko TFF ili wajipatie pesa ya kuendeshea kesi.
Au walijua na waliwaambia viongozi wenu hali halisi kuwa huko ni ngumu kwasababu utaratibu ni mpaka tuanzie humu ndani ila kwasababu Yanga inaongozwa na watu wajinga ambao wanatumia emetions wali force ili tu kuwapa imani mashabiki wao waonekane wana viongozi wenye misimamo.
Na kama hawakujua maana yake jopo zima la wanasheria likiongozwa na Simon Patrick hawapaswi kuaminika na hawana credibility ya kutosha kufanya kazi kwenye taasisi kama Yanga.
Nb: Majibu yote utayopata kwenye hizo assumptions hapo juu lazima yatoe conclusion kuwa Yanga inaendeshwa na watu walio faulu lakini sio wasomi na hawana elimu.
Ni walifaulu mitihani ili waje kupata ajira, na kwenye kufaulu mitihani kuna mbinu nyingi sio lazima utumie akili.
Wewe unazidi kudhihirisha kauli ya Manara kuhusu wenye akili hapo klabuni kwenu.Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozi kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Sasa hapo ni hiyo kamati kuamua ushenzi hapo young Africans tutarejea CAS Kwa kasi ya umeme maana tutakuwa na rufaa ya hukumu ya hiyo kamati ya kitapeli ya TFF na Karia ambaye ni mwanachama wa Simba
Ushauri wangu Kwa viongozi wa Yanga waachane na kesi tucheze tuwafunge hao 5imba mara ya 5 mfululizo na hayo mashindano Yao ya UMISETA yaani shirikisho
Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale
TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa
TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba
Kila la heri timu ya wananchi young Africans
Yanga bingwa
Imetupiliwa mbali kwa sababu hamkufuata utaratibu. Maana yake mmeonekana ni mbumbumbu wa sheria. Ni vilaza 😂 😂Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozi kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Sasa hapo ni hiyo kamati kuamua ushenzi hapo young Africans tutarejea CAS Kwa kasi ya umeme maana tutakuwa na rufaa ya hukumu ya hiyo kamati ya kitapeli ya TFF na Karia ambaye ni mwanachama wa Simba
Ushauri wangu Kwa viongozi wa Yanga waachane na kesi tucheze tuwafunge hao 5imba mara ya 5 mfululizo na hayo mashindano Yao ya UMISETA yaani shirikisho
Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale
TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa
TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba
Kila la heri timu ya wananchi young Africans
Yanga bingwa
Tutolee ushubwada huyo mwenyekiti wa bodi si ni yanga...na yuko kwny kamati zenu huko ndani..huyo boimanda sijui si ni yanga...Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,
TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni
Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Kumbe mnacheza, basi sawaYanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,
TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni
Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Nyie ni wapumbavu na ulichokiandika ni upumbavu pro max..
Yani mna wanasheria ambao hawajui kesi inaanzia wapi hiyo ni timu au kijiwe cha kahawa..
Letenk timu mgongwe...
Ile TFF na kamati zake wapo upande wa Simba na ni Wanachama wa 5imbaNyie ni wapumbavu na ulichokiandika ni upumbavu pro max..
Yani mna wanasheria ambao hawajui kesi inaanzia wapi hiyo ni timu au kijiwe cha kahawa..
Letenk timu mgongwe...
We ndo mwanachama halisi wa Rage aliyewaita mbumbumbuWewe unazidi kudhihirisha kauli ya Manara kuhusu wenye akili hapo klabuni kwenu.
Mmepeleka kesi CAS kutaka Debi izuiliwe na mahakama imesema haina uwezo wa kuisikiliza Kwa sasa hiyo kesi, hapo kama mnakua hamjashindwa kesi Kwa hiyo mmeshinda??
Kushinda kwenu kesi kungetokea endapo tu ombi lenu la kuzuia dabi lingefanikiwa. Sasa kama ombi limepigwa chini mnasemaje hamjashindwa kesi?
Tano labda umpige dodoma jiji...wale maduka yenu wote tumeshawafurusha..ndomaana mechi ya juzi mlishinda kwa msaaada wa kayoko...Ile TFF na kamati zake wapo upande wa Simba na ni Wanachama wa 5imba
Waliwakimbiza mbumbumbu wasipigwe 5 tena
Sasa ni hv TUTACHEZA na kuwapiga kipigo cha mbwa koko
Ulikuwa mtego ili 5imba alete timu afungwe mara ya 5 mfululizoYani. Ukikaa hivi unawaza kuwa yanga Wana wanasheria wasomi kabisa na hawajawahi SHINDA kesi yoyote na hawajui hata hatua madhubuti za kufwata ili kushtaki pale wanapo onewa unachukia Sana. ...
Unajichekea kimoyo moyo uanaondoka.
Sio TFF peke yake hadi CAS nayo imejaa Simba watupu si unaona hapa mwanasheria wetu akimkabidhi jezi ofisa wa CASYanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,
TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni
Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo